Ndio maana anachepuka hukuMimi mbona simpagi mechi
Ofcoz bro,Somethings don't need timetable!! Hivi kweli mko kwenye ndoa mnapanga ratiba ya kupeana unyumba? Mwishowe mtaanza na kusema unyumba lazima iwe ni chumbani, usiku na kwenye kitanda... Then mtaanza kuona maisha ni routine na kila mimoja ataanza kutafuta namna ya kuondokana na routine! Mtaanza kuchepuka....
My advise is just be spontaneous!! Just like life is...
Kumbeehahaaa....kumbe na wewe umeolewa
We acha uongo mbona unanipaga!!!?Mimi mbona simpagi mechi
Ni kule kumisiana, it means safari yote alikuwa anakuwaza. Na ni taswira njema kuwa hakuwa kwa mchepuko..
Hii suala la kupeana unyumba mara baada ya kurudi safar hata kama ni ya siku moja ni power of nature au nini?
Kha!!! Tena ndio inatoa mchoko na stress zote za safari... Inasuuza akili ili upumzike vyema...Sio lzm ukitoka safari ufanye hilo tendo,hivi tufanye umetoka Kigoma/Bukoba kwa basi,ukifika tu hom unaweza kuomba mechi?
Labda ila sina hakika na hilo.Kha!!! Tena ndio inatoa mchoko na stress zote za safari... Inasuuza akili ili upumzike vyema...
Unampaga mazoezi au ?Mimi mbona simpagi mechi
Kumbe hivi vitu ni universal? Hahahahata mkigombana ili mpatane tena dawa huwa ni hiyo hiyo ,nadhani ni power of nature mkuu
Basi utakuwa msagwajiMimi mbona simpagi mechi
Huyo kwa avatar ndio weye?Kaaazi kwelikweli!
We acha uongo mbona unanipaga!!!?