Je, jambo hili ni kweli au ni mtego huu?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna single mother fulani ambaye tumezoana saana kama watani tu wamakabila
Uyo single mother Ana watoto 4 na mume wake alifariki toka 2022
Sasa siku hizi anaumwa matatizo ya mgongo na kiuno
Jana ameniambia kuwa hayo magonjwa yake ya mgongo na kiuno ni matatizo ya wanawake eti mwanamke akikaa mda kidogo bila kufanya mapenzi ndo wanapatwa na matatizo haya je ni kweli au huu ni mtego
 
Janja janja hiyo.

Hapo anakuvuta, na naona kabisa jinsi unavyojaa.

anyway, Haya saidia Kuwalea hao watoto, hawana Baba...
 
Kuna single mother fulani ambaye tumezoana saana kama watani tu wamakabila
Uyo single mother Ana watoto 4 na mume wake alifariki toka 2022
Sasa siku hizi anaumwa matatizo ya mgongo na kiuno
Jana ameniambia kuwa hayo magonjwa yake ya mgongo na kiuno ni matatizo ya wanawake eti mwanamke akikaa mda kidogo bila kufanya mapenzi ndo wanapatwa na matatizo haya je ni kweli au huu ni mtego
Nikutakie majukumu mema mkuu
 
huyo si single mother ni widow, single mother ni mama anayeishi na watoto wake bila mume, amezaa na mwanaume tu na haishi naye
 
Kuna single mother fulani ambaye tumezoana saana kama watani tu wamakabila
Uyo single mother Ana watoto 4 na mume wake alifariki toka 2022
Sasa siku hizi anaumwa matatizo ya mgongo na kiuno
Jana ameniambia kuwa hayo magonjwa yake ya mgongo na kiuno ni matatizo ya wanawake eti mwanamke akikaa mda kidogo bila kufanya mapenzi ndo wanapatwa na matatizo haya je ni kweli au huu ni mtego
Peleka Uzi wako jukwaa la..... check
 
Kwisha habari yako
 
Ndio hata Bibi yako humuoni anavyolalamika mgongo ?
 
Matatizo ya kuumwa mgongo na kiuno yanasababishwa na kufanya mastabesheni mara kwa mara. Mwambia aache huo mchezo atakuwa sawa. Atafute mwanaume wa kumuondokea nyege.
 
Sasa hapo mtego uko wapi. Mtu kasema sababu ya ugonjwa wake, wewe unasema mtego kivip? Kwani kakuambia ukamle, si kasema tu chanzo cha ugonjwa wake ndio kakutega? Wewe ni dhaifu. Njiwa hawezi naswa na mtego kama sio mroho wa mtama.

Na huyo mother sio single mother as long as amefiwa na mumewe. Ni widowed. Hawana shida hao. Mmewe kafariki basi anastahiri kuolewa tena. Hata u kristo anakiri. Labda awe alimuua mumewe kwa maslahi yake binafsi, hapo kutakua na shida.
 
Hebu tupunguze kuwashambulia wanawake. Mtu ni mjane anaitwa single mom sio fair.

Kwenye mada husika. Huyo hata kama anakutega jua tu kwamba yuko huru kupata huduma toka jinsia tofauti na yake kwa sababu mume wake amefariki kwa hiyo kama utaenda uende ukijua kuna mambo mengine baada ya wewe kutoa huduma kwa mama mjane aidha uwe baba wa hao watoto au uhit and run
 
Back
Top Bottom