Hili jambo hufanywa na wanawake wote au ni power of nature?

Fix tu, udhani Kuwa alikumic saana na huko alikokuwa hakufanya..... Janja yao tu....
 
Somethings don't need timetable!! Hivi kweli mko kwenye ndoa mnapanga ratiba ya kupeana unyumba? Mwishowe mtaanza na kusema unyumba lazima iwe ni chumbani, usiku na kwenye kitanda... Then mtaanza kuona maisha ni routine na kila mimoja ataanza kutafuta namna ya kuondokana na routine! Mtaanza kuchepuka....
My advise is just be spontaneous!! Just like life is...
Ofcoz bro,
 
Ni lazima umpe maana ndicho kilichowafanya muwe pamoja. Mengine ni ziada tu.
 
Sio lzm ukitoka safari ufanye hilo tendo,hivi tufanye umetoka Kigoma/Bukoba kwa basi,ukifika tu hom unaweza kuomba mechi?
 
.
Hii suala la kupeana unyumba mara baada ya kurudi safar hata kama ni ya siku moja ni power of nature au nini?
Ni kule kumisiana, it means safari yote alikuwa anakuwaza. Na ni taswira njema kuwa hakuwa kwa mchepuko.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom