Hiki kitabu cha risiti cha huyu Trafiki, ni cha Serikali au chake binafsi?

mtoto wa kuku sku nyingine kabla ya kutoa malipo kwenye eneo ambalo unaona kuna utata ni vyema ukauliza mamlaka inayohusika badala ya kuja jukwaa hili. kuomba msaada.Kwa taarifa yako hiyo si stakabadhi ila ni. hati inayokujulisha kosa lilitendwa kinyume na sheria ya usalama barabarani na. hati hiyo inatambulika kisheria kama ilivyotangazwa ktk gazeti la serkali no. 257 la tareha 26/8/2011. ww umeona 2011 ukadhani ndo mwaka. wa kuchapisha kitabu hicho. Mzee huwezi elewa kila kitu duniani.Sehemu ambayo huelewi uliza uelekezwe badala ya kuja jaza server bure.Hii ni pamoja na waliokupa support kwa post yako isiyo na mashiko.

.
 
Ona sasa, kuzaliwa mjini haimaanishi unaujuwa mji, wewe umeingizwa mjini na Mzee wa Michepuko, ndiyo alikufanyia mpango ukapata kibarua pale, umesahau? leo shukurani ya punda ni mateke? eti ilikuwa uwe "mkuu wa program"!

Umekuja pale bado RTD hakuna TV, sasa hizo "qualifications" za TV ulizitowa wapi? ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Hilo sisi wenye mji tunalijuwa vizuri sana, au tutaje majina? umesahau siku uliyotaka kufukuzwa kazi baada ya kuwa mchelewaji mzoefu (tena ulishasimamishwa kabisa kazi), nani akaku save? leo huyakumbuki yote hayo?

Amma kweli, wa fadhilaka wa pundaka.
FaizaFoxy, aliyekudanyanya amekudanganya sana!, sio tuu DTV niliingia mwenyewe na kuondoka mwenyewe, ila ni kweli utangazaji wa TV nimejifunzia pale in job!. Kama you mean aliyenifundisha na kunisaidi kuwa hivi nilivyo, yes wapo na wala sio yupo!. Sikufanyiwa mpango na yeyote kupata kibarua pale.

Hilo la kusimamishwa nalo neno!, nini kusimamishwa, kwenye file langu pale, hata memo sina!, sijawahi kusimamishwa kazi hata siku moja, ila kuchelewa yes, mara kibao na hadi ku over sleep, na no show, lakini sikuwahi kusimamishwa kazi!, wala kutishiwa kufukuzwa kazi!, wakati huo mimi ndio nilikuwa "Larry King" wao, na "Tim Sebastian" wao!, unaweza kuthubutu kumfukuza na CCN/BBC ikasimama?!. Niliondoka mwenyewe na nilililiwa!.

Ila kwa vile aliyekuambia amekudanganya ila usikute ni nanii wako, na alikuwa akikuambia hayo wakati wa kunanii, hivyi kitendo cha wewe kujua alikuwa anakudanyanya kuna weza kupelekea wewe kunyima huyo jamaa!, hivyo mimi nisiwe ndio sababu, nihesabu mimi ndie muongo, yeye ndiye mkweli, alinileta mjini, akaniombea kazi, akanifundisha kazi, nikafukuzwa kazi akanisevu!.

Naomba usitaje jina kwa sababu pale hapakuwa na mzee wowote wa michepuko!, mimi mwenyewe tuu, ningewafolenisha, hadi Feri wangefika!, hivyo kuniuliza mzee wowote wa michepuko sio kunitendea haki!.

Pasco
 
FaizaFoxy, aliyekudanyanya amekudanganya sana!, sio tuu DTV niliingia mwenyewe na kuondoka mwenyewe, ila ni kweli utangazaji wa TV nimejifunzia pale in job!. Kama you mean aliyenifundisha na kunisaidi kuwa hivi nilivyo, yes wapo na wala sio yupo!. Sikufanyiwa mpango na yeyote kupata kibarua pale.

Hilo la kusimamishwa nalo neno!, nini kusimamishwa, kwenye file langu pale, hata memo sina!, sijawahi kusimamishwa kazi hata siku moja, ila kuchelewa yes, mara kibao na hadi ku over sleep, na no show, lakini sikuwahi kusimamishwa kazi!, wala kutishiwa kufukuzwa kazi!, wakati huo mimi ndio nilikuwa "Larry King" wao, na "Tim Sebastian" wao!, unaweza kuthubutu kumfukuza na CCN/BBC ikasimama?!. Niliondoka mwenyewe na nililiwa!.

Ila kwa vile aliyekuambia amekudanganya ila usikute ni nanii wako, na alikuwa akikuambia hayo wakati wa kunanii, hivyi kitendo cha wewe kujua alikuwa anakudanyanya kuna weza kupelekea wewe kunyima huyo jamaa!, hivyo mimi nisiwe ndio sababu, nihesabu mimi ndie muongo, yeye ndiye mkweli, alinileta mjini, akaniombea kazi, akanifundisha kazi, nikafukuzwa kazi akanisevu!.

Naomba usitaje jina kwa sababu pale hapakuwa na mzee wowote wa michepuko!, mimi mwenyewe tuu, ningewafolenisha, hadi Feri wangefika!, hivyo kuniuliza mzee wowote wa michepuko sio kunitendea haki!.

Pasco

No doubt about that. Umekiri.

Mzee wa Michepuko yupo na unamjuwa sana, eti Larry King wao! Khaa! na hao waliokutoa tongo tongo za macho uliokiri mwenyewe kuwa wamekufundisha watakuwa ni akina ikiwa wewe ulikuwa Larry King?

Eeeh, msukuma wacha kujikweza, huna, huna tu. Mzee wa Michepuko yupo.

Hizo zingine porojo lakini hilo ulilokiri mwenyewe nililokuwekea nyekundu, ni 100% halina ubishi.
 
hiyo ni typo tuu!, nilililiwa!, Larry King na Tim Sebastian ni watu wa TV talk show, hivyo wakati wangu, mimi ndio nilikuwa kingi wao!.

Nakuhakikishia enzi hizo hakukwepo hata habari za michepuko!, tulikuwa busy and no one alikuwa anafuatilia maisha ya mtu!, whoever aliyekudanganya, amekupata kweli kweli!.

Naona unanizeveza tuu, huku usiku unakata bila bila!. G9t.

Pasco
 
Huyu jamaa nilimkuta Mwanza road akaning'ang'ania nilipe fyn, baada ya majibizano saaana, nikaona isiwe tabu. Ndo anachora hapo. Sina hakika kama ni ya serikali au ya kwake. Ila hasira ziko pale pale sijasahau.
 
Attachments

  • 1426714454823.jpg
    1426714454823.jpg
    63.6 KB · Views: 108
hiyo ni typo tuu!, nilililiwa!, Larry King na Tim Sebastian ni watu wa TV talk show, hivyo wakati wangu, mimi ndio nilikuwa kingi wao!.

Nakuhakikishia enzi hizo hakukwepo hata habari za michepuko!, tulikuwa busy and no one alikuwa anafuatilia maisha ya mtu!, whoever aliyekudanganya, amekupata kweli kweli!.

Naona unanizeveza tuu, huku usiku unakata bila bila!. G9t.

Pasco

Huo umaarufu wa Mzee wa michepuko kaupata juzi juzi tu. Usijifanye huelewi.

Typo au yamekutoka yalio moyoni?

Khabari zako nyingi sana zipo lakini ntadondosha kidogo kidogo kila panapostahili, sitaki kuiharibu nyuzi ya watu.
 
Natumaini ni wazima kabisa wanajamvi,

Leo katika pitapita yangu nikielekea kwenye mihangaiko yangu ya kujitafutia riziki, nilisimamishwa na Askari wa barabarani maeneo ya Argentina pale Manzese. Lakini baada ya kukagua gari langu aliniambia ananiandikia kwa kuwa sina kifaa cha kuzimia moto ambacho kimesajiliwa na zimamoto, nikamwonyesha kifaa anachosema sina lakini akaniambia kilichokuja na gari hakitakiwi..

Lakini cha kushangaza, Risiti hiyo niliyoandikiwa inasema hiyo risiti ni ya mwaka 2011 na kiasi nilicholipa kwa kosa ni 30,000/=...

Swali la kujiuliza, inawezekana kikosi cha usalama barabarani wakatumia kitabu cha risiti cha zamani ? Au ni zoezi lao la kuwaibia wananchi?

Nawasilisha!

Waulize CCM NA MANGU.
 
serikali nayo ni lazima itoe risiti za kielectronic,haya makaratasi ya njano ni wizi mtupu unaendelea pale,askari wana vitabu feki na wahasibu wana risiti feki.wafanya biashara ndogondogo wanafungiwa kwa kukosa efd iweje serikari waendelee kukusanya pesa bila efd?TRA wasimamshe hizi faini za polisi hadi hapo watakapo tumia efd
 
Huo umaarufu wa Mzee wa michepuko kaupata juzi juzi tu. Usijifanye huelewi.

Typo au yamekutoka yalio moyoni?

Khabari zako nyingi sana zipo lakini ntadondosha kidogo kidogo kila panapostahili, sitaki kuiharibu nyuzi ya watu.
FaizaFoxy, mimi humu jukwaani najitanaibasha kuwa ni mtu mkweli daima, hivyo always tell the truth and the truth will set you free!, kama khabarizangu nyingi sana unazo, nimeridhia zimwagwe kadri uwezavyo as long as ni habari za kweli, na mimi always niko very open kwenye mambo yangu yote hata mambo binafsi.

Karibu FaizaFoxy

Pasco
 
Hiyo siyo risiti ni karatasi unayotakiwa kuipeleka kwa Muhasibu wa Polisi kufanya malipo kisha akupatie risiti.
 
FaizaFoxy, mimi humu jukwaani najitanaibasha kuwa ni mtu mkweli daima, hivyo always tell the truth and the truth will set you free!, kama khabarizangu nyingi sana unazo, nimeridhia zimwagwe kadri uwezavyo as long as ni habari za kweli, na mimi always niko very open kwenye mambo yangu yote hata mambo binafsi.

Karibu FaizaFoxy

Pasco

Usiwe na hofu, ntaziweka kidogo kidogo kila nnapoona panastahiki, zitakufikia tu. Mzee wa Michepuko, uliyekuwa unamwita "Kaka", yupo na anapitia pitia humu.
 
Hiyo sio Stakabadhi/receipt kaka, Hiyo ni Notification kuwa umetenda kosa.na kuwa unafahamishwa juwa ndani ya siku saba uwe umelipa faini kwa kosa uliloyenda.

Saaa nenda kituo cha polisi ukakatiwe Stakabadhi kama umeshatoa hela
 
Usiwe na hofu, ntaziweka kidogo kidogo kila nnapoona panastahiki, zitakufikia tu. Mzee wa Michepuko, uliyekuwa unamwita "Kaka", yupo na anapitia pitia humu.
Kiukweli simkumbuki mtu yoyote tuliyeitana kaka!, ila kama ndivyo alivyokudanganya, poa tuu!, muhifadhi na uendelee kumwaga hiyo dose kidogo kidogo!.
Pasco
 
Natumaini ni wazima kabisa wanajamvi,

Leo katika pitapita yangu nikielekea kwenye mihangaiko yangu ya kujitafutia riziki, nilisimamishwa na Askari wa barabarani maeneo ya Argentina pale Manzese. Lakini baada ya kukagua gari langu aliniambia ananiandikia kwa kuwa sina kifaa cha kuzimia moto ambacho kimesajiliwa na zimamoto, nikamwonyesha kifaa anachosema sina lakini akaniambia kilichokuja na gari hakitakiwi..

Lakini cha kushangaza, Risiti hiyo niliyoandikiwa inasema hiyo risiti ni ya mwaka 2011 na kiasi nilicholipa kwa kosa ni 30,000/=...

Swali la kujiuliza, inawezekana kikosi cha usalama barabarani wakatumia kitabu cha risiti cha zamani ? Au ni zoezi lao la kuwaibia wananchi?

Nawasilisha!
Halafu mbona hatujiulizi ni kwa nini polisi badala ya kulinda usalama na maalibino wanaochinjwa kila siku wao wamejazana mijini kulinda magari; kila mita kumi au kumi na tano lazima uone gwanda ingekuwa hivi vijijini nadhani alibino wasingedhurika labda tu hilo halina masilahi binafsi linakuwa gumu kuchangamkiwa
 
Natumaini ni wazima kabisa wanajamvi,

Leo katika pitapita yangu nikielekea kwenye mihangaiko yangu ya kujitafutia riziki, nilisimamishwa na Askari wa barabarani maeneo ya Argentina pale Manzese. Lakini baada ya kukagua gari langu aliniambia ananiandikia kwa kuwa sina kifaa cha kuzimia moto ambacho kimesajiliwa na zimamoto, nikamwonyesha kifaa anachosema sina lakini akaniambia kilichokuja na gari hakitakiwi..

Lakini cha kushangaza, Risiti hiyo niliyoandikiwa inasema hiyo risiti ni ya mwaka 2011 na kiasi nilicholipa kwa kosa ni 30,000/=...

Swali la kujiuliza, inawezekana kikosi cha usalama barabarani wakatumia kitabu cha risiti cha zamani ? Au ni zoezi lao la kuwaibia wananchi?

Nawasilisha!

umeshalipa ndio unauliza wenzio awalipi wanaanza...2011 loh..sasa ukitaka kujua chake ama lah...nenda osterbay sasahivi anyway ushachelewa amka asbh nenda pale omba resit.....lazima watamtafuta na watamuliiza copy yake ambayo angepeleka leo jioni alipopewa kitabu,,jitahdini kuamka ,,,,m kuniibia wehu kama hawa wa darasa la saba ata washike vitabu mia

na sasahivi wamepewa madarasa ya kurudi na kiasi fulani kwa mkubwa wanakimbiza wajinga wajinga
 
Back
Top Bottom