Hiki kitabu cha risiti cha huyu Trafiki, ni cha Serikali au chake binafsi?

Unalipia mtungi kwa 40,000 halafu haupewi maana yake ni nini? Ndio yale yale ya kulipia service charges za umeme kila mwezi,Wabunge wetu wanadai wanatupigania kumbe na wao ni @wabunge njaa tu hawapo kupigania maslahi ya wananchi,kwanini wasitoe hoja ya kufuta hizo kodi kero za wananchi? #Zamuyako2015
 
Shkam Da Faiza, Shkam Mamdogo Faiza, Shkam, Bibi Faiza, heshima mbele sana!.

Mdogo wako, mwanao na mjukuu wako!.

Pasco

Na bado, utahororoja na kubwabwaja sana mwaka huu mpaka jina langu la utotoni utalijuwa. Kama hulijuwi kamuulize aliokuingiza mjini "Mzee wa Michepuko", sema humjuwi.
 
Askari polisi karibia wote wanatamani wawe barabarani, unadhani wanataka waikusanyie serikali mapato yake????? wengi wao wanamiliki vitu vya thamani kubwa x 100 ya mishahara yao
 

Acha kuhohoroja hapa wewe ajuza FaizaFoxy, wewe utakuwa ni 'macho woman' ambapo sometimes ukiwashwa, unataka uridhishwe kwa kufanyiwa 'masochism' ndio maana sometimes unakuja 'as an agent provocateur' ili utukanwe, ndipo upate ... utafute kuridhishwa, ambako ndio 's.. gratification!" yako!, wewe unamjua fika kuwa , Manyerere Jackton, sio tuu ni mwanahabari makini, bali pia ni mzalendo wa kweli na kamanda mpigaji, ambae pia ni mmiliki wa gazeti la Jamhuri, huwezi kutuita "hii mikanjanja inayojiita miansihi ya habari" najua lengo lako ni kutu provoke ili tuu, tukutukane!, kwa mimi nimeligundui hili, hatukutukani na sana sana tunakuongezea heshima,

Shkamu Bibi Faiza!.

Pasco

Mkuu pasco umetisha.
 
Jibu hoja wewe achana na mimi. Wewe lini uliandika kwa maslahi ya wananchi?

Kuwa na gazeti ndiyo kuwa mwandishi mzuri? hata Rostam ana gazeti ni lini uliona article yake? hata Mengi ana magazeti ni lini uliona article zake zaidi ya anazoandikiwa? Iddi Simba hali kadhalika.
Manyerere Jackton na Pasco ni makanjanja wa karibu ambao nnaweza kuwafikishia ujumbe kwa haraka kupitia JF.

Ikiwa imekuuma ujuwe imekuingia.

Ngoja tuone kanjanja mwenzio Manyerere Jackton na yeye atajibu nini.


Hapo nilipo underline pametulia. Ila wengine ikiwaingia waona raha...hahahahaha
 
Hili suala la mapolisi kung'ang'ania fire extinguisher ni ujinga wetu wa Kiafrika na ujinga wa wabunge wetu kulikubali. Tunalipia 30,000 mpaka 40,000 kila mwaka, inabidi watembee na fire extinguisher watupe bure kila gari iliyokuwa haina na imelipia motr vehicle licence.

Zile pesa za kila mwaka tunalipia za nini?

Hivi hii mikanjanja inayojiita miandishi ya habari kazi zao ni nini ikiwa wanashindwa kupigia kelele mambo kama haya ambayo yanawagusa wengi?

Wao kazi yao kuandika udaku tu?

CC Makanjanja wote wanaopitia JF including Pasco na Manyerere Jackton

Asilimia 75% ya wabunge ni wa CCM sasa unalalamika nini?? wewe na hao wabunge mnatofautiana nini?? CCM ni mapoyoyo tu!! wezi na wasiothamini watanzania bali wanaitaka TAnzania tu!
 
Natumaini ni wazima kabisa wanajamvi.....leo katika pitapita yangu nikielekea kwenye mihangaiko yangu ya kujitafutia riziki....nilisimamishwa na askari wa barabarani maeneo ya Argentina pale manzese...lakini baada ya kukagua gali langu aliniambia ananiandikia kwa kuwa sina kifaa cha kuzimia moto ambacho kimesajiliwa na zimamoto nikamwonyesha kifaa anachosema sina lakini akaniambia kilichokuja na gali hakitakiwi.....lakini cha kushangaza risiti hiyo niliyoandikiwa inasema hiyo risiti ni ya mwaka 2011 na kiasi nilicholipa kwa kosa ni 30000/=.....swali la kujiuliza inawezeka kikosi cha usalama barabarani wakatumia kitabu cha risiti cha zamani ?au ni zoezi lao la kuwaibia wananchi?.....nawasisilisha

hiyo uliyoandikiwa ni notification sio risti kama unavyoita ww,lkn pia sio kwamba ni ya zamani isipokuwa ni kitabu kilichobeba makosa na adhab zake na hizo sheria zilipitishwa na bunge kupitia tangazo la serikali namba 257 la trh 26 august 2011,elewa kuwa yakiwepo mabadiliko tena serikali itatoa tangazo tena na vitachapishwa vitabu vingne vyenye mwaka tofaut na huo 2011,kwa sasa havijachapishwa vitabu vingne,lazima muelewe nchi yenu inaendeshwaje sio mmekalia majungu tu!!
 
Hili la fire extinguishers linakera. Unalipia 30000/= TRA kwa ajili ya maintenance, cha ajabu ukienda fire unakuta police wa fire anakudai tena 15000/= za service. Ukiuliza zile ulizolipa TRA wanasema haziusiki na service. Wizi mtupu! Nilimuuliza afisa mmoja wa TRA kwenye maonesho ya wiki ya nenda kwa usalama majibu yake yakawa haya: "wenye magari Tanzania ni 2% ya watanzania wote, hivyo mshukuru Mungu kwa kuwa kwenye kundi hilo. Hizi 30,000/- kwa mwaka mzima achana nazo"
 
Asilimia 75% ya wabunge ni wa CCM sasa unalalamika nini?? wewe na hao wabunge mnatofautiana nini?? CCM ni mapoyoyo tu!! wezi na wasiothamini watanzania bali wanaitaka TAnzania tu!

Hata wakiwa 100% tusiwaeleze?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
natumaini ni wazima kabisa wanajamvi.....leo katika pitapita yangu nikielekea kwenye mihangaiko yangu ya kujitafutia riziki....nilisimamishwa na askari wa barabarani maeneo ya argentina pale manzese...lakini baada ya kukagua gali langu aliniambia ananiandikia kwa kuwa sina kifaa cha kuzimia moto ambacho kimesajiliwa na zimamoto nikamwonyesha kifaa anachosema sina lakini akaniambia kilichokuja na gali hakitakiwi.....lakini cha kushangaza risiti hiyo niliyoandikiwa inasema hiyo risiti ni ya mwaka 2011 na kiasi nilicholipa kwa kosa ni 30000/=.....swali la kujiuliza inawezeka kikosi cha usalama barabarani wakatumia kitabu cha risiti cha zamani ?au ni zoezi lao la kuwaibia wananchi?.....nawasisilisha

huyo trafiki ni mwizi, kamripoti kwa kamanda mpinga amfukuze kazi.
 
Hapo nilipo underline pametulia. Ila wengine ikiwaingia waona raha...hahahahaha

Msome Pasco utajuwa kama kaona raha au imeuma. Nnamngoja na Manyerere Jackton na makanjanja wengine wanaojifichaficha humu kutafuta habari halafu wanaenda kujifanya ni zao, hata courtesy ya kutaja waliipata wapi inawashinda.

Tena neno kuhororoja na kubwabwaja siku hizi limeingia mpaka, bungeni, kwenye media na hawa makanjanja wamelitoa kwa FaizaFoxy lakini hata kumtaja wanaona haya.
 
Msome Pasco utajuwa kama kaona raha au imeuma. Nnamngoja na Manyerere Jackton na makanjanja wengine wwanaojifichaficha humu kutafuta habari halafu wanaenda kujifanya ni zao, hata courtesy ya kutaja waliipata wapi inawashinda.

Tena neno kuhororoja na kubwabwaja siku hizi limeingia mpaka, bungeni, kwenye media na hawa makanjanja wamelitoa kwa FaizaFoxy lakini hata kumtaja wanaona haya.
Nimemsikia Sofia Simba akiyatumia hayo maneno kabla yako, nami nilifikiri ulitakiwa kumtaja Sofia unapoyatumia maneno hayo .
 
Hajaandika kwa hasira bali amejifanya ana hasira ili atukanwe!.

Kuna type fulani ya wanawake wanaitwa 'macho women' hawa ili kupata 's..gratification' wanahitaji kuwa abused, kubakwa, au kutukanwa!, sasa siku wanapohitaji, wanajikuta wanatafuta watu na kuwa provoke ili hao watu wawatukane, wao wawe gratified!.

Dawa yao sio kuwatukana kwa sababu watapata walichotaka bali kuwa mwagia heshima!, mimi pale nimemwaga shikamoo!.

Pasco

Kamanda asante sana kwa kumjibi huyu ajuza. Tuna mambo mengi na ya maana sana kwetu binafsi, Taifa na kwa walimwengu wote. Hayo ndio yanayopaswa yatusumbue vichwa. Siyo kuhangaika na kiumbe kisichojulikana. Ebu tujadili athari za rushwa na ajali zinazozidi kuwatoa roho Watanzania wenzetu.
 
Fire extinguisher haina faida yeyote kwa mwenye gari, hasa mimi. Mimi gari yangu nikilipia Comprehensive Insurance inatosha kabisa kwani inakinga mpaka ajali ya moto. Sihitaji kabisa kuwa ni hicho kifaa. Nchi yetu tunapoteza pesa nyingi sana kuagiza fire extinguishers!
 
Kamanda asante sana kwa kumjibi huyu ajuza. Tuna mambo mengi na ya maana sana kwetu binafsi, Taifa na kwa walimwengu wote. Hayo ndio yanayopaswa yatusumbue vichwa. Siyo kuhangaika na kiumbe kisichojulikana. Ebu tujadili athari za rushwa na ajali zinazozidi kuwatoa roho Watanzania wenzetu.

Pitia tovuti ya pccb ukaone jinsi wala rushwa na watoa rushwa wanavyohenyweshwa toka ujio wa Kikwete.

Wacha porojo bila mpango.

Wewe lipi haswa la maana Kiulimwengu ukalileta? sijaliona. Ni mchumia tumbo kama Pasco wa vibahasha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom