Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 245
jaman
kwenye sredi nimeeleza nani aliyeanza ni kivipi nilifanya kosa la to imitate.Kosa ni imitation za kuwa nipo na BF kumbe dada mtu
usizunguke zunguke hapa. inamaana ungekuwa na shemeji yako wa kiume akasema tu imitate, ungeingia hiyo imitation?. halafu huoni aibu kusema aliyeanza ni nani. inanikumbusha kitabu cha mwanzo, wakati wa anguko la mwanadamu- eti yeye ndiye alianza