Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Tubu muombe mungu akusamehe
ila usirudie tena,wewe sio wa kwanza kutenda iyo dhambi wala isikutese moyoni
 
Duh! Kama ni kweli pole
ila ukisema kitu kinapungua rohoni, inatisha lakini ila ndo ushafanya tena.

Sisi ni nani hata tukuhukumu?
Mungu wako anajua majuto yako nafsini mwako.
 
Marytina kwahiyo mlinyonyana ndimi tu na huyo wf yako au na vidole vilitumika? Vp kawf akajarudi tena kuomba game?
 
sijui ni vipi lakini naona kuwa
wadada wanapokuwa wawili peke yao
kitandani wengi wao huishia kupapasana na zaidi ya hapo...
inaonekana sex kati ya wadada kwa wadada iko saana lakini
inafanywa kama sio common ki hivyo..

Wadada wa wapi hao?
 
duh! Kama ni kweli pole
ila ukisema kitu kinapungua rohoni, inatisha lakini ila ndo ushafanya tena.

Sisi ni nani hata tukuhukumu?
Mungu wako anajua majuto yako nafsini mwako.
kweli hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine ubaya ni vile ulifanya na mtu wa karibu,
 
Wadada wa wapi hao?

kama umesoma boarding utakuwa sio mkweli kukubali hili
ni too common kuliko unavyofikiria
kwenye mahosteli ya wadada wapo ambao wanaitana kabisa
mtu na mkewa.ingawa wote waweza kuwa na ma boyfriend pia
 
Sio kweli, kuna circumstances kwa maisha ya kiswahili mnajikuta mme-share kitanda (hata kwa wanaume inatoke) but hata kugusanisha miili kitandani it is disgusting! mzungu wa nne ni muhimu so u dont breathe in excreted air ya mwenzio. Usagaji unaanzia kwenye mawazo kwanza.
sijui ni vipi lakini naona kuwa
wadada wanapokuwa wawili peke yao
kitandani wengi wao huishia kupapasana na zaidi ya hapo...
inaonekana sex kati ya wadada kwa wadada iko saana lakini
inafanywa kama sio common ki hivyo..
 
kama umesoma boarding utakuwa sio mkweli kukubali hili
ni too common kuliko unavyofikiria
kwenye mahosteli ya wadada wapo ambao wanaitana kabisa
mtu na mkewa.ingawa wote waweza kuwa na ma boyfriend pia

Sijasoma boarding school kwa hiyo siwezi kupinga ila kama ni common hivyo kwa niñi hawaendelei kwa uwazi wakimaliza pia?
 
Sijasoma boarding school kwa hiyo siwezi kupinga ila kama ni common hivyo kwa niñi hawaendelei kwa uwazi wakimaliza pia?

hapo ndo inanishangaza mno
tena wengi huolewa na kuishi kama wengine
na waume zao.......
 
kama umesoma boarding utakuwa sio mkweli kukubali hili
ni too common kuliko unavyofikiria
kwenye mahosteli ya wadada wapo ambao wanaitana kabisa
mtu na mkewa.ingawa wote waweza kuwa na ma boyfriend pia
kweli boss mimi ni shaidi no moja mimi namshangaa martina sema ni vile alifanya na mtu wa karibu ndo maana inamtesa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom