Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Marytina mie siku hizi nakufananisha sana na Nazjaz.( utanisamehe bt huo ndio ukweli halisi ) manake ukipotea ukirudi una story za ajabu, ajabu. Hazina tofauti na za Nazjaz.
Honey! umenusurika na mafuriko? niliona mtu kama wewe anaokolewa jangwani anaelea juu ya tairi ya trekta.
 
sio lesbian bali niliteleza kwa kushawishiwa na mazingira

hata wanaofi...........rwa huwa wanasema hivo hivo.Ndo zako wewe,lakini usijali haya mambo ni common kabisa bongo.Just relax mpigie simu aje mfanye tena and then confess kwa bwanako Ole na umpe offer ya threesome,wewe,yeye na dadake,vikinoga akitaka amparamie dada yake,si ndo ulivyoamua kuishi,au?
 
Taratibu bana, wengine tuna majonzi vitanda vimesombwa na mafuriko...
 
Are you really blushing?
nahisi ile hali ya ku-blush ila ngozi yangu haibadili rangi sababu ni nyeusi.
Hali yenyewe nahisi kama pumzi inaziba kwa ghafla, damu unapanda shingoni, inaendelea kwenye mashavu na maskio alafu mapigo ya moyo yanaenda harakaaa, huku najiuliza kama uligundua kinacho endelea kichwani mwangu baada ya wewe kuniuliza hivo.
 
Heheheeee hiyo inaitwa Ngabu Effect. If symptoms persist see Ngabu for more professional advice.
 
Back
Top Bottom