figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Akukweti, Chacha Wangwe, Sarome mbatia, Regia Mtema....list inaendelea...wapo walio koswa koswa..Mudhihir, Mwakyembe....list inaendelea. Mia
Kuna wale waliokufa mwaka jana mbunge na mkewe walikua wametoka kwenye mazishi ya kaka wa mke, IPO KI2 HAPA SI BURE KAMA ILE YA S.MBATIA lazma ilikua na mkono wa m2
naunga mkono hojaajali ya regia, uchunguzi wa kina ufanyike. Familia, chama, mashuhuda, madaktari washirikishwe
Mimi sitakaa niwe mwanasiasa kwa sababu sitaki na siwezi kuwa mchawi au kuishi kwa wasiwasi kama swala!!
Hata mimi hii kazi ilinishinda siku nyingi sana. labda kama siyo Africa
Ajali ya Regia, uchunguzi wa kina ufanyike.
familia, chama, mashuhuda, madaktari washirikishwe