mi naamini kwa wabunge wa upinzani kuna 70% ya mkono wa mtu
km n hvo 2waombee bac il Mungu awaepushe na mkono mbaya wa adui, ha2na haja ya kulalama.
mi naamini kwa wabunge wa upinzani kuna 70% ya mkono wa mtu
mi naamini kwa wabunge wa upinzani kuna 70% ya mkono wa mtu
kweli aiseee!..mia
Kuna mtu anayejuwa kuwa hilo gari lilikuwa well euiped to be driven personally by a person with disability?
Pili, was it neccessary for her to drive personally on a long trip?
Ukweli pia na barabara zetu na hao madereva wa malori, hata kama kuna ambao ni mkono wa mtu, madereva wa malori ni rahisi kuwasingizia kwasababu ni ukweli wengine wanakuchomekea trailer na hata hawakujui.
Kama unavyosema ndugu ni kweli itakuwa vigumu sana kwenye hii ajali kuhusisha mkono wa mtu (kama kweli upo)kwani aliyekuwa anaendesha ni Regia na ndiye aliyeathirika.Kutokana na mazingira ya ilivyotokea ajali ni dhahiri kuwa maamuzi ya nini cha kufanya wakati wa ku overtake yalifanywa na yeye kama dereva.Kama ajali ingetokea wakati anaendeshwa na dereva mwingine ingekuwa rahisi kuhusisha hujuma kwenye kifo chake, pia kama angegongwa yeye.....kwa nyuma kungekuwa na walakini......lakini pia pamoja na kwamba yeye ndie alikuwa na maamuzi ya mwisho.....lazima dereva wa gari ya mbele nae ahojiwe.....kuna madereva wenye roho mbaya ambao unamwomba kuovertake(wewe ukiwa nyuma yake)alafu yeye kwa roho mbaya anakuruhusu kumpita(kwa kuonyesha taa)wakati anaona mbele kuna gari inakaribia.Huu mchezo mchafu upo sana tz......mtu yuko mbele yako kwenye gari kubwa ambako anaona mbali mbele na kuna gari inakuja alafu ukimwomba ku overtake(wewe ukiwa kwa gari ndogo na huoni mbali mbele)yeye anakuruhusu tu.....na unashtuka ghafla mbele yako gari hilo!!!hii imenitokea sana na siku hizi siwaamini kabisa madereva wa tz wanapokuwa mbele yangu.....ni bora kufanya maamuzi mwenyewe ni wakati gani wa ku overtake(haswa kunapokuwa na gari kubwa mbele na hata nyuma(malori na mabasi ni hatari kweli kweli -haswa mafuso).Hujuma kwenye hii ajali ni vigumu sana kuipima.....suala la marehemu kuendesha akiwa mlemavu nalo ni la kuangalia na pia umiliki wa leseni kwa hali yake......mara nyingi tz haya mambo huwa hayazungumziwi lakini ajali zinapotokea huwa zinakuwa very catastrophic.....ajali nyingi tz zinasababishwa na physical conditions za dereva(mfano kuto kuqualify kuwa dereva au kuendesha ukiwa mgonjwa)and psychological conditions za dereva(mfano kuendesha ukiwa umelewa etc).That said, ukweli unabaki pale pale kuwa watanzania siku zote wanatembea na kifo mkononi.(kwa njia ya ajali za barabarani)......kila mtu kwa nafasi yake.....haijalishi uko kwenye gari yako au dala dala au unatembea miguu...anyway yaani......driving in tz is very very rough yaani......for those who don't know....road traffic accidents(RTA) are number one killer in tz (ahead of all kinds of diseases we have)......you wan't to know about this....go ask the ministry of health........Alale Pema peponi Dada yetu!! Mungu amempenda zaidi jina lake liidimiwe.
Tusitafute mchawi na kama tukijiuliza maswali kwa upande wangu,nimesukumwa sana na ili kuwa marehemu alikuwa ndie drive,hakika sikutegemea hata siku moja kwa hali yake ya disability kuwa angeweza kuendesha gari.Ndio kwa Nchi za wenzetu wana system maalumu ufungwa kwenye gari la muhusika na hivyo kuweza kulitumia.
Lakini kwa mfumo wa magari yetu mengi Nchini ni Manual system na Automatic System,hivyo kwa uwezo wake yeye hakika sitegemei Tanzania kama kuna Kitengo cha Usalama Barabarni kilitoa leseni kwa Dada huyu ili aendeshe gari yake hiyo ambayo hatujajua kama mfumo wa muundo wake ni Manual sytem Gear au ni Automatic System Gear.
Na hata kama ni Automatic System ambayo kwa Watanzani wengi madereva ambao ni Wanawake upenda kuendesha magari ambayo mfumo wake ni Automatic System Gear Drive, kwa kuwa mfumo huo unamlaisishia mwendeshaji na hivyo kutokuwa na kazi sana kweye miguu na mikono yake.Hivyo kwa hilo bado kwa hali halisi ya Mheshimiwa Marehemu kama kweli alikuwa ni mmilki wa leseni ya kuendesha gari mwenyewe sijui kama ilikuwa ni sahihi kumilikishwa leseni ya kuendesha gari hiyo au vinginevyo alikuwa analitumia mwenyewe pasi umilki halali wa leseni ya kuendeshea.
Lakini yote kwa yote hiyo ni ajali kwa mtu yoyote yule ambae amepata kuendesha gari,haswa wanaoendesha magari kwa kasi,ukizingatia marehemu alikuwa anaovertake gari nyingine hivyo ilibidi kutumia kasi kubwa ambayo kwa hakika dereva yoyote yulea anejua gari na swala linaloitwa kasi au speed chochote kinaweza kutokea hivyo yote yanayotokea ndani ya muda dereva anapoovertake gari nyingine utegemea maamuzi yake na busara zake katika tendo hilo na si nje ya hivyo.
Yametokea tumuombee kwa Mungu,tuondoe lawama za kibinadamu kwa kuwa kama gari limepinduka lenyewe na kwa ushuhuda wa kijana aliyekuwa nae kwenye gari kuwa wakati wanaovertake walimwambia kuongeza speed hakika ukilejea maelezo yangu hapo juu,kwa picha hiyo unagundua nini chanzo na sababu ya ajari.RIP Reg.
kinachonishangaza ni kuwa ajali ya mbunge uhusisha roli, semitrela n.k basi. alafu mara zote anakufa peke yake ktk ajali iyo-alaf huwa ni kwenye ku oveitake lori. Nikawaza kuwa labda Mungu kawapangia wabunge wetu kuwa mwisho wao ni malori tu. Siutaki ubunge wa kitanzania! mbunge asipata ajali anakufa kwa ajali ya sumu.