Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje?

chuoni kulikuwa na bafu moja kubwa vidume tulikuwa tukioga kwa pamoja huku tukipiga story za kumwaga. Ukiwa mwoga au dushelele ni aina ya sweta basi unaoga na kyupi. Pia kijijini kwetu wakubwa kwa wadogo jinsia moja tunaoga pamoja iwe mto nabili, kisimani kagera msaki, bwawani kwa salumu ama ziwani. Ni kawaida mwamba tembea uone
 
Wanasema huwezi kuwachunguza wanawake, hao viumbe ni wa ajabu sana.
 
Back
Top Bottom