Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje?

Wanaokoa muda ili na wengine nao watumie bafu kwa wakati ili wawahi foleni za barabarani...
 
Binafsi si mshabiki wa tabia hizo, ila naamini kuna mazingira yanayolazimu hali kama hizo, mfano vyuoni, kambi za michezo n.k.

Ukiachilia mbali tabia za kisagaji zinazomea kwa kasi hivi sasa, bado nadhani ni salama zaidi kwa jinsia KE kuliko jinsia ME...binafsi sijisikii amani hata kidogo kukaa uchi mbele ya mtu mwingine asiye mpenzi/mke, ila wapo ambao hawajali hayo.....nadhani pia inategemea malezi ya mtu na mtu.

Nakumbuka wakati mmoja nikiwa kazini nilienda changing room (idara niliyopo hainilazimu kwenda huko), bafuni kulikuwa na mtu anaoga, nikiwa kwenye sinki la kunawia nikitumia kioo aliyekuwa anaoga akatoka, ni mdingi mmoja (50), akiwa uchi...na bonge la kitambi chake na miguu mithili ya miwa....nilimuonyesha kutofurahia tabia ile ya kutoka uchi...nikajaribu kumuhoji, akaniambia peleka useng.e huko...nikajiondokea.
 
umenikumbusha eti mume na mke wanaoga bafu moja uswaz kwenye nyumba ya kupanga....
 
Back
Top Bottom