Hii picha inatufundisha nini?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914


jamani hii picha inatufundisha kitu gani cc wa TZ?

attachment.php
 
Inatufundisha kula honeymoon visiwa vya carribean raha wajameni..bembea nje nje
 
Inatufundisha kuwa,bado tunasafari ndefu sana ya kufikia maendeleo kama hayo! Kuwa na umeme wa uhakika kwa 99.9% usafiri wa namana hiyo unawezekana kabisa! Ila kwa bongo bado sana,maana umeme ukikatika ukiwa huko hewani na mpaka huo umeme urudi, ..........debe!
 
Inatufundiha kuwa tunaenzi michezo yetu ya utotoni kama bembea nk
 
Inatufundisha tutumie ipasavyo kodi za wananchi katika starehe ili tutapokuja kutoka katika URAIS tusije tukajuta kuwa hatukufanya ubadhirifu.
 
Inafundisha kua kubembea kwa nchi yetu si lazima bungeni tu...
Hata pozi ya hapo juu nayo ni kubembea...
 
Ina tufundisha starehe gharama ...jamaa wa pembeni kushoto mbona kama anaogopa nathani wangempekuwa wangemkuta na unprocessed material (ma..v..)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom