Hii picha inatufundisha nini?



jamani hii picha inatufundisha kitu gani cc wa TZ?

attachment.php







Inatufundisha tuwe tupo tupo tu, kama watoto wadogo, tucheze. Watoto hucheza, ni sentensi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 

"Safari na Mziki" sijui kama kuna watu wanaikumbuka hii Taxi 70s na early 80s?

Duh Umenikumbusha mbali!! Ilikua nyeupe aina ya Ford Cortina, Ma-antena kibao!! na cha kuchekesha ni kwamba muziki wenyewe ni wa RTD! hakukuapo radio cassete wakati huo. Halafu nasikia jamaa alipiipoteza kwa yanga kufungwa na simba, lile goli la kichwa la Haidari Muchacho!!
 
Back
Top Bottom