Hii Nyimbo Ya Dully Sykes Inahamasisha Wizi/Ukabaji Ipigwe Marufuku.

Ametumia fasihi!!!!IBA akimaanisha jiajiri!!!KABA akimaanisha tafuta mkopo bank au saccoss!!!!!

Yaani wewe nakuongeza sio Muuza sura tu, Mpaka poda

Fasihi Ya Kiswahili Sanifu Ukiifungua nakuyapa haya maneno
IBA= JIAJIRI?
KABA=TAFUTA MKOPO BANK?


Du! Kweli wewe ni great thinker? Bora ungeandika "napita tu hapa"
 
Alitumia kichwa cha chini kuutunga huu wimbo
Yaani hawa wasanii hamna kitu mkuu, Nakumbuka miaka ya 84, Wimbo wa "Mwanameka" wa Marijani Rajabu Walitutolea kwenye Mtihani. Sasa mijimbo ya siku hizi haina mafunzo wala mahudhui, utamtolea mtoto kwenye mtihani kweli?
 
Kwenye miaka ya tisini Dr. Remmy Ongalla aliimba wimbo wa mambo kwa soksi! Serikali ya Mwinyi ikaupiga marufuku ule wimbo eti unahamasisha watu wafanye zinaa.
Wakati alikuwa anawahamasisha watu wasifanye ngono zembe!
Huyu Dully anahamasisha vijana wakabe, waibe mradi wakajirushe. serikali iko kimya.

Hivi kazi ya haya mabaraza COSOTA, BASATA, CHAMUDATA yana kazi ipi?


ndo maana ya serikali legelege inaanza serikali yenyewe mpaka vibranch vyake huko chini kabisa
 
Yaani hawa wasanii hamna kitu mkuu, Nakumbuka miaka ya 84, Wimbo wa "Mwanameka" wa Marijani Rajabu Walitutolea kwenye Mtihani. Sasa mijimbo ya siku hizi haina mafunzo wala mahudhui, utamtolea mtoto kwenye mtihani kweli?

Neema wa Chidumule pia, mashairi yamepangwa vema. Tumezikosa kazi hii na,
Vijana wa kidato cha nne 2010 katika mitihani ya necta wamejaza nyimbo za "bongo fleva'- Dr Ndalichako
 
nimeamua kuitoa hii nyimbo hewani ilimashabiki wangu wajue bado nipo. Na kwenye albam yangu kutakuwa na nyimbo 11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom