Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Apr 19, 2011 #3 Ndallo said: Click to expand... Hapa shem umeongopea umma Kondoa hakuna lami
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Apr 19, 2011 #4 hii ni kigali!kondoa hakuna lami wala overfly
Babu Lao JF-Expert Member Nov 2, 2010 2,043 179 Apr 19, 2011 #5 Ndallo said: Click to expand... Mkuu kwa huo mji unaoonekana pembeni haiwezekani kuwa kondoa... mtu mzima huwa haambiwi amedanganya bali hutakiwa kurekebisha kauli tu!!!
Ndallo said: Click to expand... Mkuu kwa huo mji unaoonekana pembeni haiwezekani kuwa kondoa... mtu mzima huwa haambiwi amedanganya bali hutakiwa kurekebisha kauli tu!!!
locust60 Senior Member Oct 1, 2008 101 12 Apr 19, 2011 #6 Kondoa kunawaka barabara rami,madaraja ya maana yaani hata kwao Dr hapaoni ndani....
Makindi N JF-Expert Member Mar 14, 2008 1,066 174 Apr 19, 2011 #7 Hii picha ya siku nyingi sana................. Labda km uliipiga miaka hiyo na kui-publicize.
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Apr 19, 2011 Thread starter #8 Mkuu hapo ni darajani Kondoa kumekucha tembea uone
sekulu JF-Expert Member Jan 17, 2011 988 157 Apr 19, 2011 #11 Ndallo, yani unavoikomalia navuta picha na Hako ka Avata kako ndo du, Yani nakuona unaandika hayo maneno ukiwa umelea alafu kapengo tu ndo knaonekana. Nimeipenda sana, Hiyo ni Kondoa ya Miaka 10000 ijayo.
Ndallo, yani unavoikomalia navuta picha na Hako ka Avata kako ndo du, Yani nakuona unaandika hayo maneno ukiwa umelea alafu kapengo tu ndo knaonekana. Nimeipenda sana, Hiyo ni Kondoa ya Miaka 10000 ijayo.
Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 485 148 Apr 20, 2011 #12 Mkuu si useme tu ukweli imekuvutia ukaiweka hapa, pasi na kujua ilishapita hapa mara kibao