Stendi ya Kondoa inatia aibu

one wisow

JF-Expert Member
Sep 9, 2019
1,216
1,795
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tanga na Nyika.

Wakuu Stendi ya Kondoa (BICHA) ina hali mbaya sana. Nimetembea maeneo mengi hapa Tz, ila sijaona stendi iliyo na hadhi ya chini kama hii ya Kondoa.

Stendi ni ndogo, vumbi kali linalochafua hadi ndevu, huduma za kijamii ni haba. Sijui wahusika kwanini hamchukui hatua kurekebisha hili swala.

Hata kibanda cha Tigo Pesa ni vya kutafuta kwa tochi, very local.

Cha kusikitisha zaidi, stendi ipo kilometa 3 kutoka Kondoa Mjini. Yaani ukishuka, uchukue bodaboda kwa elfu 2 kwenda mjini.

Uzi tayari.View attachment 2686602
View attachment 2686603
View attachment 2686604
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya tanga na nyika .

Wakuu stendi ya kondoa (BICHA) ina hali mbaya sana. Nimetembea maeneo mengi hapa Tz ila sjaona stendi iliyo na hadhi ya chini kama hii ya kondoa .

Stendi ni ndogo ,vumbi kalii linalochafua hadi ndevu , huduma za kijamii ni haba sjui wahusika kwann hamchukui hatua kurekebisha hili swala.

Hata kibanda cha tigo pesa ni vya kutafuta kwa tochi very local .
Cha kuskitisha zaidi stendi ipo kilometer 3 kutoka kondoa mjini . Yaani ukishuka uchukue boda kwa elf 2 kwenda mjini.

Uzi tayar.
umekosa hata picha ya kusindikiza uzi
 
Back
Top Bottom