..mie bado niko ICU huku ..nikitoka nitatoa tamko rasmi..
ni eid tulivu isiyo na mawaa.....nipo nyumbani kwa Ipycalypse hapa nachagua mchele.....karibuni sana.....
Mitala oyeeeeee,
kumikiki zaidi ya wanaume watatu kuna raha yake banaaaa
Pole sana ndugu. Ni upepo tu, utapita!
umeona eeh! yani balaa tupuAma kwewli ghubu la wifi ni noumer