Hii ni vita rasimi natangaza kwenye imaya yangu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwakweli ni mekwazwa na hawa watu nitawataja ila nataka wanieleze nini wanatafuta kwangu??pili na muhusika nataka leo afunguke juu ya msimamo wake ili kesho nikisha mmwagamtu ubongo nisihukumiwe kwa kuua!!
kwanza ningeomba niwataje hawa watu!

TANMO
mtu chake
PakaJimmy
Erickb52
pili huyu anayeleta mtafaruku hapa nakuomba ueleze yaliyopo moyoni mwake hizi kauli za kusema waume zangu mimi sizitambui nadhani Preta utakuwa umenielewa dhumuni langu haya yote nayafanya kwakuwa wewe ndiye huba la moyo wangu!!
 
Last edited by a moderator:
Wajameni nendeni mdogo'mdogo basi mka'coz na huyu nae aende exile! Alipokwenda Charmy!
Nway nakumbushia tu! Hapa mi sitii neno! Maana naona hii sintofahamu "The big nations" ndiyo contestants!
 
Kwakweli ni mekwazwa na hawa watu nitawataja ila nataka wanieleze nini wanatafuta kwangu??pili na muhusika nataka leo afunguke juu ya msimamo wake ili kesho nikisha mmwagamtu ubongo nisihukumiwe kwa kuua!!
kwanza ningeomba niwataje hawa watu!

TANMO
mtu chake
PakaJimmy
Erickb52
pili huyu anayeleta mtafaruku hapa nakuomba ueleze yaliyopo moyoni mwake hizi kauli za kusema waume zangu mimi sizitambui nadhani Preta utakuwa umenielewa dhumuni langu haya yote nayafanya kwakuwa wewe ndiye huba la moyo wangu!!

Kumbe mnamgombania Preta? Preta mwenyewe hana mpenzi wa kudumu, alisha achane na aliyem diflower, Preta hana ukoo wa kudumu, hata akiolewa na Bujibuji atahama ukoo, pia hana dini ya kudumu.
Kazi ni kwako
 
Last edited by a moderator:
Kakakiiza hiyo vita uliyonitangazia unanaionea bure Bana...
Mimi tangu Preta anipige kibuti akaenda kwa Mtu Chake nilijiweka pembeni (Preta shahidi yangu)
Huyo mtu chake unayemtangazia vita mwenyewe yuko ICU anapigania maisha yake baada ya kutoswa..
B52 sidhani kama ana makosa sana, manake yeye alirusha ndoano na ikanasa (which is normal for any Man)..
Sema yeye kaingia kwa gia ya ndoa manake Preta alishajifunza kuwa mgumu..

Tatizo liko kwa PJ na Preta mwenyewe.
Manake nilikuja gundua kwamba PJ anakula pesa yangu na ya Mtu chake kwa wakati mmoja (huenda alikuwa anakula ya B52 pia)..

Ila olu in olu tukubaliane na ukweli kwamba B52 ametuzidi kete kisha tuanze mashambulizi upya..
Vinginevyo unachotaka kuleta hapa ni vita ya Panzi wakati Makunguru (Preta, B52 na PJ) wanatuchora tu..

By the way, nimejitolea bure kuwa Emsii kwenye hiyo harusi (kama itafanyika),,,,, kiroho safi..

Make Love, not war.....
 
Hivi kwani nyie wanaume mkiwa wapole mkashirikiana kwenye 'umume wenza' wenu mtachubuka ngozi? Mbona wabinafsi?

Kizuri kula na nduguyo banaaa

wao kutuoa wanawake 6 ni sawa....lakini wao hawataki kushare.....hivi nani kawaambia sitaweza kuwahudumia...? au wanadhani mi ni mteja wa dr Manyuki.....?
tulieni nyie wanaume.....kila mtu atapata mgao wake sawasawa.....
 
Wivu sina kushea sitakiiiiiiii funguka hapa Preta mimi nijiweke pembeni siyo kilasiku pesa ya matumizi natoa anafaidi wengine PakaJimmy na Erickb52 asante TANMO Kwakuniweka wazi ila hii vita naona kama aikwepeki wakunusuru hiivita ni Preta!
 
Last edited by a moderator:
Hizi vita hizi haogopi mtu, ukitaka kujua kamuulize YoungMaster kwa Cacico ilikuaje? katoto kametia mguu tu jamvini kachumbia na kupiga mkwara wanaume wote,tena alianza na sisi wenye mvuto, from nowhere kikaja kibabu Asprin kikabeba mzigo bila hata neno kikaongeza idadi, huyo Preta mwenyewe kwa babu hajapona, KakaKiiza learn to be a gentleman! kula na wenzio,otherwise utakufa umri si wako,utatangaza vita afu utapigwa Preta atakucheka then what next!?
 
Point!!
By the way, bado unanitaka?
Manake mtego wangu B52 ameutegua na sasa niko Ofishali Singo..
Badili Tabia, wili Yuu Meri mii???

yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees bebi kamu this wei

wapi Asprin aje aone hii.....

Nimeshafika mshiki angu, na nshafanya maamuzi magumu. Am no Longer Married to BADILI TABIA. Siyo wifiyo tena. Nitafutie wa kuziba pengo lake. Si wajua kaka yako mie wake wawili hawanitoshi?
 
Back
Top Bottom