Hii ni vita rasimi natangaza kwenye imaya yangu!!

Yaani hatujamaliza mfungo mnagombea mwanamke badala ya kugombea pepo? Nyie vipi?!

Preta, kwa mwendokasi huu, inabidi yanzishe 'men's daycare center,lol

Chezeiya "kono la elephant ? "
hili kono litaendelea kutawala soko sustainable rapidly ! Linakimbizaje !
 
Last edited by a moderator:
Acha mashkhara unataka kuniacha mke wa ujana wako? Hata maandiko yanakataza.......

Kibbutt at works tena Babu alishan'tonya ilikua akuoteshe kitaamboje ?
Tukawa twamplizpliz ! Sasa wastahili ! Kiatu cha fidi fosi uchegeme nacho! Unarro hirro ! ra ukweri !
 
Mhhh...huu upepo hapana.
Nabaki singo, nitakuwa najichua, lol.

Huu upepo ni kama ule wa Singida ! Lowasa alipotakaga kuzalishia umeme! Liko pepo la Kaskazi !
Hili la kusi !
Limeondoka na one deceased ! Corpse already !
 
Ama kweli ndoa inafungwa na wanandoa na kuvunjwa na marafiki, Judgement, mbona unaniletea majungu

Asprin hebu njoo chumbani tuzungumze

Mbona hata juzi Mmu alikua na mwingine ?
Babu mulika panja! Kumbe Babu na wewe wajua kupiga mtu raba !
Sema tukapelekee posa wapi ?
Kata mti usipande mti ?
Kata mmoja panda mi5 ! Alaaa!
 
Last edited by a moderator:
Bora single eeh? (hiyo bora single isome kwa style ya kubana pua!) Afu hapohapo unataka mtoto! Utamzaa kwa roho mtktf si eti ?

Kwani kuzaa lazima uwe double? Mbona unaweza okota mtu barabarani na ukazaa.
 
Back
Top Bottom