Hii ni vita rasimi natangaza kwenye imaya yangu!!

Nimeshafika mshiki angu, na nshafanya maamuzi magumu. Am no Longer Married to BADILI TABIA. Siyo wifiyo tena. Nitafutie wa kuziba pengo lake. Si wajua kaka yako mie wake wawili hawanitoshi?

kamata CUTE.....huyu alijaribu kuniingilia lakini alishindwa......nataka nimkomeshe......mpe ile dozi yako nene......
 
Last edited by a moderator:

Thats my sisie, hebu nipe wajihi wake.... Unayo CV yake? Usije ukamuuzia kakako mbuzi kibudu kwenye kiroba.

Anyaway.... CUTE popote pale ulipo, come this way kwa ajili ya preliminary ukaguzi before marriage.
 
cv yake aliyenayo yupo icu....lakini nadhani siyo mbaya coz alirindimisha mutima wange mbaya kabisa......beba yeye......
 
Ameugua kwa muda mrefu??? Nini sababu ya ugonjwa wake?? Naogope mie....

attachment.php
 
Hizi vita hizi haogopi mtu, ukitaka kujua kamuulize YoungMaster kwa Cacico ilikuaje? katoto kametia mguu tu jamvini kachumbia na kupiga mkwara wanaume wote,tena alianza na sisi wenye mvuto, from nowhere kikaja kibabu Asprin kikabeba mzigo bila hata neno kikaongeza idadi, huyo Preta mwenyewe kwa babu hajapona, KakaKiiza learn to be a gentleman! kula na wenzio,otherwise utakufa umri si wako,utatangaza vita afu utapigwa Preta atakucheka then what next!?
Bora fedhea kuliko hasara!

Hii ndoa ya Preta naona inaleta munshkeri sasa..
Imeisha haribika naweza kusema hivi!

cv yake aliyenayo yupo icu....lakini nadhani siyo mbaya coz alirindimisha mutima wange mbaya kabisa......beba yeye......
Mimi nafikiri mda wakwenda Kisongo,au segerea,au ukonga umewadia!sijui bby utakuja kuniangalia eti Preta?
 
Last edited by a moderator:
Hizi vita hizi haogopi mtu, ukitaka kujua kamuulize YoungMaster kwa Cacico ilikuaje? katoto kametia mguu tu jamvini kachumbia na kupiga mkwara wanaume wote,tena alianza na sisi wenye mvuto, from nowhere kikaja kibabu Asprin kikabeba mzigo bila hata neno kikaongeza idadi, huyo Preta mwenyewe kwa babu hajapona, KakaKiiza learn to be a gentleman! kula na wenzio,otherwise utakufa umri si wako,utatangaza vita afu utapigwa Preta atakucheka then what next!?

Hahahahaha.......... Mkuu usitoe siri nyingine bana. Preta ni dada yangu. Na udada wake unaishia pale mto wami. Tukiwa Dar wote tunakuwa wandengereko a.k.a mafiga matatu yanahuu. Shhhhhhhhhiiiiiiii Baba V usimwambie mtu.
 
Last edited by a moderator:
Anakurusha roho tu
Tulipanga akurushe roho
Sababu una wiki ya tisa hujaenda chumbani kwake, hana lolote.

Kwanza huyo anayemuuliza will u mari mi ni mpwa wake alikuwa masomoni.

Hivi Kongosho kazi nlokupa ilikushinda? Imekuwaje huyu akachoropoka kwenye himaya yako? Nikutafutie msaidizi?
 
Anakurusha roho tu
Tulipanga akurushe roho
Sababu una wiki ya tisa hujaenda chumbani kwake, hana lolote.

Kwanza huyo anayemuuliza will u mari mi ni mpwa wake alikuwa masomoni.

Machale yananicheza ushakula rushwa ya BADILI TABIA......khaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Wee mwache wiki 7
Hadi atumie gunzi, ndio ayatia adabu.

Siku ukienda atakuwa na adabu
Wala hatauliza kiti
Anaiziria serikali pesa ya NSSF?
Nadhani litakuwa fundisho kwa wake wengine wenye tabia kama ya huyu.

Kwa hasira leo naenda kumlala baamedi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom