Hii ni siri inayonitesa!

Naz unavituko sana, lakini kumbuka njaa isikutoe thamani na utu wako maana kuna maisha ya furaha na mateso makubwa baada ya kifo amini mungu hapendi huo mchezo.
 
Ndege wajanja hunaswa na tundu bovu. Why a person is ready to despise his\her own dignity just for a position which is not even permanent?
 
Dah.............nyongo imenitumbukia ghafla!

Nimewakumbuka dada zangu na mama zangu wote mliopo kwenye nafasi bora kikazi na kimadaraka!

Dah.........Rehema ya Mungu iwe juu yenu wote!

Pole sana Nazjaz!.............Mungu wa huruma anasamehe hata dhambi iwe kubwa kiasi gani machoni pa mwanadamu!
 
Umejuta na umeomba msamaha kwa yeye alie mkuu.Ujue umesamehewa,usiangalie nyuma yote yamepita.Anza maisha yako upya kabisa mpz.
lakini huwa nasikia haka kamchezo ukishakaanza ni vigumu sana kukiacha!
 
Aiseee! Now nimepata picha ndio mana kuna hata boss wetu wa kike kanakisilani yawezekana nae katoa tigo that's y kikikumbuka kanakuwa kakali kweli, ok watu wamekula tigoooo! Duh kweli siri ya mtu ni kichaka.
 
vipi tokea hapo hujapata urge ya uendelea kutumia tigo tena maana wanasema ukishaliwa hiyo kitu inakuwa inanyevuanyevua tu ikihitaji kukunwa
 
Aisee!


Pole sana Nazjaz usiyeishiwa na mikasa. Nenda kapime ndugu manake huyo mtu inaonekana amewalamba wengi mpaka anatembea na KY JELLY? Kha.
 
Kwanza pole kwa kifir+o,pili mpaka kakujia na ky kakuchukulia wewe malay+a shukuru kakufi..ria hollyday hotel. kama zile hotel za elfu 30 ungefulishwa mashuka usingesahau cse mimav mtindo mmoja.
 
Hiyo ni laana na ulifanya ukijua unafanya nini. hakukubaka wala kukulaziimsha. Uovu utavunwa uovu. Uliwazunguka wengine ma be kupata hiyo post. Umevuna ulichopanda. ULAANIWE.
 
Aaah! The drama queen! I miss ur dramas unajua! Pole sana.

NazJaz,nothing judgmental lakini nadhani una moral issues ambazo unahitaji kuzishughulikia. Kwangu mie hiyo issue ya kuwa-tigo-ed sio primary. Tatizo langu ni kukubali kulalwa na mtu ili upate cheo kazini. Mwisho wa siku ni ubatili na kujilisha upepo. Trust me,muda mfupi ujao kila mtu hapo kazini atajua somehow, itakuondolea confidence ya kufanya kazi na huenda ukajikuta una-resign.

Wewe ndo wa kubadili wanaume kwa sababu ya shopping na outings za mafia na zenj na mwishowe kujambiwa ovyo, u need to bid them goodbye as a group. Angalia usijeangukia kubaya, na emotional issues ni ngumu kudeal nazo kuliko hiv.

Aisee, tafuta msaada wa kiroho kwanza.
Im still puzzled!
Ina mana huyu Nazi alitaka hicho cheo that bad?
Unauza utu kwa sababu upate kitu? Lakini mwisho wa siku mtu unapata unachotafuta kwa njia unayochagua.You better come clean to those who matter.Kuja hapa jamvini kutest zali ili ujue kama kuna ambao nao wametoa kitu wakapata kitu haitakuondolea guilt.
Cha kufanya:
1. Resign - usipofanya hivi kila unachofanya au utakapokuwa ofisini dhamira itakusuta tu.You need to change kila kilichohusika kwenye ufisadi huo uanze upya.
2. Kaombe msamaha kwa Mungu wako ( toa sadaka msikitini/kanisani baada ya toba)
3. Fanya matendo mema kwenye jamii kama toba.
4. Badili tabia

Usichukie kukosolewa kwani maumivu utakayoyapata kwa kukosolewa ni tiba ya kukuponyesha.N.B Dawa nyingi ni chungu!
 
Nnachajiuliza ni kuwa aliona nini hadi akajua lazima utampa tu! Kingine akakuomba umfuate, ukamfuata!! hapo cjui kama kuna kitu umeruka au ndo hata kuombwa hukuombwa!! Inaonekana hujiamini!

Kwa mtazamo wangu wewe una matatizo! Na nadhani ulishawahi kufanya mengi zaidi ya hayo sema hiyo ya tigo ndo imekustua! Na kwa utabiri wangu haitaishia hapo!
 
WanaJF nawaomba tumsaidie mwenzetu kwa kumpatia ushauri mzuri. Mimi nampa pole azidi kumuomba Mola atamsaidia, acha kuwa na mawazo wengi wamepata vyeo kwa njia hii. Wewe si wa kwanza, Fanya kazi kwa bidii na ta taratibu za kazi zinavyoelekeza usiangalie au kusikiliza la mtu.
 
Aaah! The drama queen! I miss ur dramas unajua! Pole sana.

NazJaz,nothing judgmental lakini nadhani una moral issues ambazo unahitaji kuzishughulikia. Kwangu mie hiyo issue ya kuwa-tigo-ed sio primary. Tatizo langu ni kukubali kulalwa na mtu ili upate cheo kazini. Mwisho wa siku ni ubatili na kujilisha upepo. Trust me,muda mfupi ujao kila mtu hapo kazini atajua somehow, itakuondolea confidence ya kufanya kazi na huenda ukajikuta una-resign.

Wewe ndo wa kubadili wanaume kwa sababu ya shopping na outings za mafia na zenj na mwishowe kujambiwa ovyo, u need to bid them goodbye as a group. Angalia usijeangukia kubaya, na emotional issues ni ngumu kudeal nazo kuliko hiv.

Aisee, tafuta msaada wa kiroho kwanza.
kumbe we ni mfuatiliaji mzuri wa tamthilia ya nazjaz!
 
Duh! Pole binti just try to reconsile na Mungu wako.

Am speechless, haya mambo wengine tunayaongea kama hadithi, napoona kweli its happenning nakosa hata cha kusema.

At least umesema itakusaidia, lakini rudi kwa Mungu wako itasaidia zaidi, sisi binadamu ni nani hata tukuhukumu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom