Hii ni sawa jamaniii

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
80
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.
 
Au wewe ni mlokole? kama ni mlokole basi asifanye hilo tangazo!
 
sasa tatizo lako ni nn unamkataza kwa ajili gani lazima uwe na sababu ya msingi si kumkataza tu kwa vile mchumba
 
Kwani kushiriki tangazo kuna shida gani, labda kama tangazo lenyewe liko kinyume cha maadili ya imani yako. Bado anao uhuru wa kufanya atakacho bwana. Acha hizo, sasa kama tangazo ni mfano la sabuni, we unapata hasara gani? Best umeanza mashariti namna hiyo kabla mkioana si utamwambia aache ajira yake akae nyumbani? Mwache mchumba wako atafute vijisenti!
 
ina maana wewe ni demu wa kanumba?
..maanake namuona kwenye tangazo jipya la zantel
 
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.
hapo kwenye RED hiyo ndio sababu?
 
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.

Kwenye red: Ukamshauri nini sasa? Anendelee na tangazo au aache?
Kwenye blue: Ofisi ya vyeti vya uzazi au vya vifo? Kama ni vya vifo kweli mwambie aache kwakuwa sigara inachangia sana mtu kufa mapema.
 
hommie acha tu kuna thread nyingine kazi kwelikweli, mtu hatoi maaelezo ya kutosha then anaomba ushauri!! kama moja ilikua inauliza "kati ya kubwa na ndogo ipi inafaa" lol!
 
Au wewe ni mlokole? kama ni mlokole basi asifanye hilo tangazo!

mlokole yupi atatumia neno kama kuchapa lapa?

Huyo bwana wivu unamsumbua, au labda hamjui vizuri demu wake. kitabia huyo mwanamke ni mpenda kujulikana na kwa namna hiyo watakuwa wanagombana sana tu kwani hayataishia hapo
 
Mkuu details pl's hapo kwenye RED!!
 
Kwenye red: Ukamshauri nini sasa? Anendelee na tangazo au aache?
Kwenye blue: Ofisi ya vyeti vya uzazi au vya vifo? Kama ni vya vifo kweli mwambie aache kwakuwa sigara inachangia sana mtu kufa mapema.
XPIN, ALIMAANISHA ..OFISI NYETI!..acha hizo bana!
 
jamani mbona mnashindwa kumuolewa mleta mada? ....
inaonyesha sehemu atakayoshiriki kwenye tangazo haina `heshima`, labda asingependa mchumba wake atokee na bikini tu aonekanwe dunia nzima, au acting yake labda ni kama changu doa anavuta sigara....lol
hebu njoo utueleze tatizo nini kwenye hilo tangazo
 
Huyo sisiteri kama anakupenda anatakiwa akusikilize kwa mazuri unayomtakia .. kama sehemu anayotakiwa kucheza sio nzuri kwa nn analazimisha ?
Pole ...zako mupenzi wako anapenda kuuza sura eeeh una kazi
 
Mkuu details pl's hapo kwenye RED!!
rafiki.... mtu ambaye tayari yuko inspired kuwa kwenye ma billboard ni mtu anayependa image yake iwe public zaidi, wa namna hii wengi (nazungumzia from experience ya watu ninaowafahamu) huwa hawaishii hapo

kuna binti mmoja jamaa yetu yeye alikua kila siku anatamani awe kwenye ma-billboard, akapata access, akawekwa publick, basi ukawa ndio mwanzo wa popularity na hadi sasa you can see she is excited by populists... tabia hii haijalishi elimu ya mtu

huo ni mwanzo tu wa huyo popular
 
Back
Top Bottom