View attachment 51468
Kenye msiba wa msanii.
Hilo kahaba lililolala juu ya kaburi ni la wapi..linaonyesha experience yake..usiku ndio wanafanyiaga ufuska huko!!
Huyo dada ni kajilaza hapo kwenye kaburi? Kinda spooky..
Hilo kahaba lililolala juu ya kaburi ni la wapi..linaonyesha experience yake..usiku ndio wanafanyiaga ufuska huko!!
Hata kama kulikuwa na watu wengi sio sahihi kufanya hivyo kwa mtu mwenye busara zake. huko ni kutokuwa na heshima kwa waliotutangulia. Inamaana akilala hivyo ndio nafasi itatosha? mimi nilidhani angesimama ndio angetumia nafasi ndogo zaidi na wengine wangepata nafasi pia. Anyways, inawezekana hilo ni kaburi la ndugu yake ameamua kuongea naye kinamna, hatuwezijua.
Kwahiyo kama kuna watu wanavuta bangi na wewe utaiga kuvuta bangi? Je akilala juu ya kaburi ndio nini? umati unapungua? au nafasi inaongezeka?kwa umati uliokuwepo huko...kawaida sana mana wapo wanaokaa huko hata kama hakuna umati mkubwa kama wa leo...
kuna mahali niliona washkaji wanapiga story kikundi kabisa...juu ya kaburi
kwa vile ni mwanamke moja kwa moja ni kahaba??!!!
Hilo kahaba lililolala juu ya kaburi ni la wapi..linaonyesha experience yake..usiku ndio wanafanyiaga ufuska huko!!