Watu wenye maeneo au viwanja huwa wana maringo, nyodo na dharau

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
174
343
Watu wenye maeneo, wanapoamua kuuza, au unapoamua kutafuta kiwanja, yaani wanao miliki viwanja au maeneo huwa wanaringa sana, wanapotaja pesa utadhani wanataja majani au kitu kilicho rahisi sana. Kukipata!

Wanaongea kwa kujiamini, lipa nusunusu utamalizia hiyo milioni 2, 3 au 4 utamalizia Baada ya Mwezi mmoja au miwili, wanavyoongea unaweza sema wao wanauwezo wa vyanzo vya kuingiza hiyo Pesa.

Pia huwa wanajiona kama Dunia wameshamaliza. Ongea yao huwa ni ya dharau sana. Sasa sawa ndugu zetu, madalali wao ndio usiseme wanataja pesa utadhani wanataja mchanga au njasi, maneno kibao.
 
Nawewe miliki kiwanja! Kawaida kumiliki mali kuna ufahali wa aina yake! Jaribu kuwaza ukiwa una gari alafu unaingia sehemu watu wanakuelekeza mahali pa kupaki huwa unajisikiaje? Au umeenda sehemu ukiwa na manzi wa ukweli (hata kama wa kukodi) huwa una jisikiaje? Au una miliki simu kali na ukifika kaunta ukaiweka mezani wenye viswaswadu wakaanza kuvificha huwa unajisikiaje? Miliki utajiri mwamba!
 
Safi sana
 
Wambie waache kutafuta mbadala wa furaha bila pesa .ni kutafuta konyagi msikitini
 
Nawewe miliki kiwanja! Kawaida kumiliki mali kuna ufahali wa aina yake! Jaribu kuwaza ukiwa una gari alafu unaingia sehemu watu wanakuelekeza mahali pa kupaki huwa unajisikiaje? Au umeenda sehemu ukiwa na manzi wa ukweli (hata kama wa kukodi) huwa una jisikiaje? Au una miliki simu kali na ukifika kaunta ukaiweka mezani wenye viswaswadu wakaanza kuvificha huwa unajisikiaje? Miliki utajiri mwamba!
Huo ni ulimbukeni kama unamiliki kitu ili tu watu wakusifie
Hizo ni sifa za watu wenye akili finyu
 
Sijasema ili watu wakusifie! Hii ni nature (asili). Hata kama hutaki utajikuta unasifiwa na kuheshimika! Kuna mwonekano fulani ukiwa nao hata ukienda sehemu watu wanakutafutia kiti cha kukaa au mtu anaamka ili ukae! Kama hutaki kaa na umasikini wako! Kumiliki mali au utajili uambatana na heshima na kibali!
 
Nawewe miliki kiwanja! Kawaida kumiliki mali kuna ufahali wa aina yake! Jaribu kuwaza ukiwa una gari alafu unaingia sehemu watu wanakuelekeza mahali pa kupaki huwa unajisikiaje? Au umeenda sehemu ukiwa na manzi wa ukweli (hata kama wa kukodi) huwa una jisikiaje? Au una miliki simu kali na ukifika kaunta ukaiweka mezani wenye viswaswadu wakaanza kuvificha huwa unajisikiaje? Miliki utajiri mwamba!
Kwenye nchi iliyo jaa ufukara lazima hata anaye kula ugali na dagaa afikirie kuwa naye ni miongoni mwa matajiri.
 
Back
Top Bottom