Hii ni sahihi au dharau

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,122
534
SAM_0634.JPG
Kenye msiba wa msanii.
 

Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    58.2 KB · Views: 168
Hakuna dharau yoyote,
Pale pamejaa makaburi kwa umati ule ilikuwa ni kukanyaga makaburi tu
 
Hakuna dharau yoyote,
Pale pamejaa makaburi kwa umati ule ilikuwa ni kukanyaga makaburi tu
Huyo haja kaa,ame lala.
Uchovu wa mambo ya corner bar.
 
mazingira yanaruhusu,hapo ni mapumzikoni wacha watu wajipumzikie kwa amani.
 
kiukweli japo yuko msibani lakini hailet maana, inavyoonekana hana hata habari kama yuko juu ya kaburi sijui anajiamini vp
 
kwa umati uliokuwepo huko...kawaida sana mana wapo wanaokaa huko hata kama hakuna umati mkubwa kama wa leo...

kuna mahali niliona washkaji wanapiga story kikundi kabisa...juu ya kaburi
 
Hata kama kulikuwa na watu wengi sio sahihi kufanya hivyo kwa mtu mwenye busara zake. huko ni kutokuwa na heshima kwa waliotutangulia. Inamaana akilala hivyo ndio nafasi itatosha? mimi nilidhani angesimama ndio angetumia nafasi ndogo zaidi na wengine wangepata nafasi pia. Anyways, inawezekana hilo ni kaburi la ndugu yake ameamua kuongea naye kinamna, hatuwezijua.
 
kwa umati uliokuwepo huko...kawaida sana mana wapo wanaokaa huko hata kama hakuna umati mkubwa kama wa leo...

kuna mahali niliona washkaji wanapiga story kikundi kabisa...juu ya kaburi
Kwahiyo kama kuna watu wanavuta bangi na wewe utaiga kuvuta bangi? Je akilala juu ya kaburi ndio nini? umati unapungua? au nafasi inaongezeka?
 
mbona mnasema huyo dada tu aliyelalia kwamba ni kahaba, na waliosimamia ni mashoga, na aliyeegamia ni sharobaro.
 
Hilo kahaba lililolala juu ya kaburi ni la wapi..linaonyesha experience yake..usiku ndio wanafanyiaga ufuska huko!!

Kuna mengi yanatokea, na yaliyotokea. Watu kutoka mikoani na hata nje kidogo ya jiji la dar walikuwepo.
Anaumwa? Hakuna anayejua. Ni uchovu? Hakuna anayejua. Ni uvivu? hakuna anayejua. Ni kaburi la ndugu yake? hakuna anayejua. Huwa anakuja hapa usiku? wewe wasema. Alikuwa na kizunguzungu? Hakuna anayejua.

In that case, never conclude without knowing. Better just ask and wait for answers
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom