Hii ni kwangu tu kuna wengine huwatokea???

mamii, jifunze kumuamini mwenzio na kumuamini Mungu! bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.niliona mdada akiachika kwa sababu ya kum-comfront kila mtu kuwa ana-affair na mumewe (including mama,bibi,mama wadogo na binamu za mumewe!). its an obbssession, nt a good thing.unahitaji sababu za kutosha kumshuku mtu.maisha yanakuwa marahisi,unafurahia mahusiano, na utavuka daraja utakapokutana nalo (labda halipo, au liko kama la mkapa unapita na lori speed 200!)

</p>
<p>&nbsp;</p>

Sijui kama umenielewa sio kwamba namshuku inatokea tu unasikia hivyo but akimaliza kuongea ama kuondokana nae yanakwisha hapo hapo si kwamba naendelea nayo hapana its just like that ndo maana nikasema si naona wivu anyway naweza kusema sipendi
 
Juzi umekuja na thread ya kushangaza sana, umelalamika kweli kuhusu mwanaume sijui ni mume/boyfriend au la. Kwa hii ya leo nimegundua kiitu kwako, UNA WIVU KUPITA KIASI, muombe Mungu akutoe huko maana wivu nao ni dhambi, kero at the same time. Kama una wivu wa hivyo ni tatizo kubwa sana, amani utaisikia kwa jirani.

Mungu akutie nguvu.

Kama WIVU NI DHAMBI Mungu asingekua mwenye WIVU!!
 
Dena wala sikushangai ,mie huwa na wivu sana sema mara nyingi huwa najifanya sijaona kilichotokea.
 
Hofu yetu kubwa katika mapenzi ni kumpoteza umpendaye kwahiyo wivu hujengeka kwa kiasi flani dhidhi ya wale unaoona wanaweza kukuibia tunda lako.unachokihisi ni wivu ila si vibaya coz unaonesha unampenda mtu wako
 
...Ukimpenda, ukamwamini nawe ukajiamini...hutopatwa na wivu bali uchungu wa mapenzi
443500-Royalty-Free-RF-Clip-Art-Illustration-Of-A-Cartoon-Man-Whistling-And-Pushing-A-Dolly.jpg



Wivu nm
1. hali au tabia ya mtu kusononeka au kukasirika muda mtu amuonapo mpenzi au rafiki yake ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine.
2. ngoa, kijicho, chonda, uhasidi, gere

Uchungu nm
hisia anazokuwa nazo mtu baada ya kufikwa na jambo la kuumiza.
 
Back
Top Bottom