Hii ni kwangu tu kuna wengine huwatokea???

kwa vile hodi ya chooni sio ya sauti ni kugonga tu mlango,na aliye ndani nae anagonga mlango (kwa choo cha uswazi,kidogo kama sanduku), kama huufikii mlango unatoa kakikohozi ka kizushi tu.kama nimepatia unipe zawadi,plz

King'asti mambo?:becky::becky:

Unamchokonoa babu?

Wivu wa namna hiyo hata mimi ninao. Yaani hata utani utani tu wa eti mume wa dada yake amwite girlfriend wangu wangu ''wife au darling'' kwa utani roho inaniuma, ila huwa najikaza kisabuni tu.

Thanks for sharing uzoefu wako na hisia

Naomba uandike kwa kiswahili,,sijaelewa kabisa.

Hahahahaha....kumbe tupo wengi!

Hana lolote huyo ni WIVU tu huo, japo anapigapiga kona nakutaja akina Adam mara Eva hamna kitu hapo huo ni WIVU tu. Wivu ndio unasababisha roho kuuma sasa inakujaje useme hauna wivu ila roho ikuume? Labda tumsaidie kufaham maana ya wivu kwamba si kitu unachoweza kukiona au kukihisi tofauti kama kuhisi njaa, kujisikia kucheka, kujihisi kiu ya kinywaji au labda kusikia joto/baridi au kuwashwa na mwili. Hisia za wivu au mtu kufaham ana wivu ni pale anapohisi/kujisikia roho inauma kutoka na baadhi vitendo vya mwenza wake kama alivyo viorodhesha hapo juu.

Juzi umekuja na thread ya kushangaza sana, umelalamika kweli kuhusu mwanaume sijui ni mume/boyfriend au la. Kwa hii ya leo nimegundua kiitu kwako, UNA WIVU KUPITA KIASI, muombe Mungu akutoe huko maana wivu nao ni dhambi, kero at the same time. Kama una wivu wa hivyo ni tatizo kubwa sana, amani utaisikia kwa jirani.

Mungu akutie nguvu.

:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: Hiyo red

Hiyo bluu usihukumu usije ukahukumiwa

babu maneno kuntuu! mi ntakuweza wapi weye,nimetoboa siri yako?

King'asti mambo?

Unamchokonoa babu?

Dena huo ni wivu wala usibishe, nakuthibitishia tu huwa inatokea hata ukimtakaa mtu kabla hajakupa tunda basi utapenda kufuatilia nyendo zake hata kama ulitaka kutumia staili ya nyoka yaani kuuma na kutema meno kisha unasepa kwa wanaume na wanawake hutapenda ukiona akiongea na wanawake wengine hususani wenye shepu kama yako au wanakuzidi! Hiyo ndiyo silka ya mapenzi mama, polee kama umekwama sehemu kimtindo, tehe tehe tehe tehe.

Sijakwama kokote ndugu nadhani unanielewa hapa nachozungumzia na unafahamu fika ni wazo langu tu nimeleta

mamii, jifunze kumuamini mwenzio na kumuamini Mungu! bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.niliona mdada akiachika kwa sababu ya kum-comfront kila mtu kuwa ana-affair na mumewe (including mama,bibi,mama wadogo na binamu za mumewe!). its an obbssession, nt a good thing.unahitaji sababu za kutosha kumshuku mtu.maisha yanakuwa marahisi,unafurahia mahusiano, na utavuka daraja utakapokutana nalo (labda halipo, au liko kama la mkapa unapita na lori speed 200!)

Hiyo red

Hiyo bluu usihukumu usije ukahukumiwa

nt now babu, niko na baba. ntaku-dip!

Orait........ngoja niku

Back
Top Bottom