Hii ni kwangu tu kuna wengine huwatokea???

Ha ha ha haya bana nafata ushauri wako
Mimi mke wangu akisalimiwasalimiwa na watu nafurahi sana maana najua ni kitu na box!.. ha ha haaa!
Hata akibadilishana namba za simu na mtu, ndio kwanza namsubiri kwa pozi zote!
 
Mimi mke wangu akisalimiwasalimiwa na watu nafurahi sana maana najua ni kitu na box!.. ha ha haaa!
Hata akibadilishana namba za simu na mtu, ndio kwanza namsubiri kwa pozi zote!

Hongera mie siwezi kabisa lakini wewe kwenda kutoa vitu stoo nani kakufundisha???
 
Kwanza tunda lililoandikwa kwenye vitabu vya dini sio hilo unalolisema wewe!Second,kama ni wewe au mtu mwingine ana tabia hiyo ya "roho kuuma" huko ni kutokujiamini kama hujiamini huwezi kuwaamini watu wengine!!!!
 
Maandiko hayakumaanisha tunda hilo...hako ni ka wivu si mbaya,ila usizidi kama ule wa kipemba
 
Back
Top Bottom