hii ni kwa wadada wote

Kwa mtindo huu tutashuhudia wengi sana wakizeekea kwa wazazi wao,na mwisho wa siku tutawaona mitandaoni,Jamani mimi natafuta japo wa kunizalisha tu na mtoto nitalea mwenyewe.....
 
Nyie ndo basi kabisa hata hamjielewi kwanini mnaishi! Kama vipi uwe unaweka na bill ya mwezi mzima kabisa pale Ohio ili usiwe unasumbuka!
bili hiyo utalipa wewe?? watu tunataka vitu spontaneous..instantaneous..sio kila mwanamke nimtakaye anataka ela kama wewe..
 
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
kwani ni lazima ukubaliwe au umefanya ni deni hilo.
 
mtazamo wa kupenda pesa hauna matatizo yoyote kwangu, maana kaa nilivosema, nimeshaeka strategy / survival skills ktk any situation.
Sasa hii avatar ya spanking ndio aje tena?:whip:
Mi nilikua najipendea ile yetu ya "illunimatis":rockon:
 
Sasa hii avatar ya spanking ndio aje tena?:whip:
Mi nilikua najipendea ile yetu ya "illunimatis":rockon:
ile avatar ishakua zilipendwa..
kwene hii mpya kuna ujumbe mzito hapo Bi. Mwali..salama lakini ?
 
Last edited by a moderator:
ile avatar ishakua zilipendwa..
kwene hii mpya kuna ujumbe mzito hapo Bi. Mwali..salama lakini ?
Mi mzima bukheir, alhamdulillah!
Nimejaribu kusoma huo ujumbe
Namwita somo wangu, AshaDii...
Nae aje asome, she is a fan. lol
 
Last edited by a moderator:
Mi mzima bukheir, alhamdulillah!
Nimejaribu kusoma huo ujumbe
Namwita somo wangu, AshaDii...
Nae aje asome, she is a fan. lol


My mwali am here... Unasemaje mumie? ankal wako Kaizer umempa chai?

Alafu mwambie Badu anavolalama hapa kosa lake mwenyewe wala hata sio msichana, naona hakujipanga jinsi ya kumuingia ili akubaliwe ombi lake.
 
Last edited by a moderator:
Abhahvari Ndo Hiyo.
Unauliza Chawa Kichwani?
Pwele,pwelembe,
Fomisha mapembe.
tatizo hivi vitu huwaga hapewagi mtu mmoja.. ndo mana mwatakiwa mjiulize 'tupo wangapi"??
hata mie nkiwa na hela lazima niwapange sana maana sinajua hamna mapenzi ya kweli, mnafata faranga zangu?? kwa hiyo ni trade-off tu.
 
Back
Top Bottom