hii ni kwa wadada wote

tatizo hivi vitu huwaga hapewagi mtu mmoja.. ndo mana mwatakiwa mjiulize 'tupo wangapi"??
hata mie nkiwa na hela lazima niwapange sana maana sinajua hamna mapenzi ya kweli, mnafata faranga zangu?? kwa hiyo ni trade-off tu.

Yote Maisha na Jogoo hafi kwa Utitiri,
wala Mbwa hafi akiona Ufuko.
Tutakutana kwa Sir God one day yes.
Ndo mana cku hzi Mkimwaga mboga Sie tunamwaga ugali.
 
baada ya kuusoma unaeza kuusimulia umma huu??lol
It is precisely because nimeshindwa kuyanongelea
ndio maana nimemweita somo wangu. Anti AshaDii

My mwali am here... Unasemaje mumie? ankal wako Kaizer umempa chai?

Alafu mwambie Badu anavolalama hapa kosa lake mwenyewe wala hata sio msichana, naona hakujipanga jinsi ya kumuingia ili akubaliwe ombi lake.

Anti sijamuona Uncle Kaizer, last time aliomba uji.
Hapa naongea na Abdulhalim kuhusu avate yake hii
Unaweza kutwambia nini about it? Mi nimeshindwa...
 
Last edited by a moderator:
It is precisely because nimeshindwa kuyanongelea
ndio maana nimemweita somo wangu. Anti AshaDii

Anti sijamuona Uncle Kaizer, last time aliomba uji.
Hapa naongea na Abdulhalim kuhusu avate yake hii
Unaweza kutwambia nini about it? Mi nimeshindwa...

Ankal wako yupo mpakani kwenye kuhakikisha lile swala la mpka wa malawi linasuruhishwa vizuri kati ya viongozi wetu na wa Malawi. lol

Avatar za Abdul huwa ni unique, anapenda movements in them naona... Nashukuru tu kuwa hii walau waweza itazama hata mara kumi kuliko ile nyingine ya kunyofolewa tumbo. Hii so far imenifanya nifikirie hicho sio kichapo, kuwa maybe they are role playing, mbona kila bada ya kichapo kuna ka moyo? lol
 
mi ndo maana uwa nawadanganya mi darasa la nne ila nna hela km mchanga, afu tuone km atakataa, uwa naishia kucheka tuui
 
Back
Top Bottom