Hii ni habari ya kweli inaniuma na kunisikitisha sana

Punguza hasira ngugu ebu jiulize huko kooote umefanya mangapi mazuri na pia umeokoa vingapi ambavyo visingeli kuwepo! Nina mengi sn ya kusema ila tambua uwepo wako hp duniani kuna sababu..
Kikubwa ni kama dogoo anasoma na anadhamira hiyo kweli bs yatosha ndilo jambo kubwa sn.
Hawa mama zetu ndivyo walivyo 75% ndio ukweli wenyewe bwana

Faraja utaziona baadae huyu bado anasoma" ni hayo tuu.

I see me!!
 
pole sana na hongera kwa moyo mzuri, hasira zikiisha kiroho safi ongea na mama mtoto mueleze tu ukweli kwamba umejua ukweli,na kwa vile ada siyo tatizo mpe uhuru akuambie sehemu gani angependa usaidie tena na endelea kuisaidia hiyo familia kama kawaida.

kwanini nashauri wewe kuongea na huyo mama ni ili uwe huru,ukweli na uwazi wako utakuweka huru ili tunda la chuki lisizaliwe ndani yako,maana kuna comment moja nimeona unarefer normal life yake moja kwa moja tunda la chuki linataka lizaliwe ndani yako,ukiongea naye pengine utakuwa umemfungua huyu mama anawezekana anayo mengi yanayomsibu mpka ikapelekea kutenda hivyo.Kiroho safi na amani tele talk to that lady.
 
Ninavyomjua lara 1, huu ndio mwaka wako wa mwisho kupigwa magumashi, binti ana saikolojia ya hali ya juu kufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuruhusu mkwanja utoke. Nakumbuka jamaa wa Escape one walitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia kuhusu PA System wakati wa JF Party, kumbe Lara 1 aliwashtukia kitamboo wala pesa haikutoka wakajua tumewatangulia, walipolalalia ndipo tulipoamkia.

Ila kuna Mdada mmoja alinipiga kama wekundu wawili kwa vishina vya vocha badala ya vocha Lara 1 ndiye aliyeushtukia mchongo mzima.

Huu ni uzoefu wangu tu kuhusu your fiancee, Kaka Matola usilaze damu, utafika mbali na huyo binti.... LOL
 
Last edited by a moderator:
Hata mie ningejisikia kusalitiwa na ningekasirika.Bora angekuambia tu, ila endelea tu kumpa.
 
Mkuu the good thing is watoto wanasoma na wema umerudisha. God will bless you. Na pia sioni vibaya akichukua hiyo hela...Vibaya ni kukudanganya
 
Ninavyomjua lara 1, huu ndio mwaka wako wa mwisho kupigwa magumashi, binti ana saikolojia ya hali ya juu kufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuruhusu mkwanja utoke. Nakumbuka jamaa wa Escape one walitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia kuhusu PA System wakati wa JF Party, kumbe Lara 1 aliwashtukia kitamboo wala pesa haikutoka wakajua tumewatangulia, walipolalalia ndipo tulipoamkia.

Ila kuna Mdada mmoja alinipiga kama wekundu wawili kwa vishina vya vocha badala ya vocha Lara 1 ndiye aliyeushtukia mchongo mzima.

Huu ni uzoefu wangu tu kuhusu your fiancee, Kaka Matola usilaze damu, utafika mbali na huyo binti.... LOL

hakika
 
kaka assum lyk unasaidia familia n nt kulipa ada thn ushache kufanya hvyo mpaka mtoto atakapomaliza 4m4..and haina haja ya kumchana huyo mama.
 
Ninavyomjua lara 1, huu ndio mwaka wako wa mwisho kupigwa magumashi, binti ana saikolojia ya hali ya juu kufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuruhusu mkwanja utoke. Nakumbuka jamaa wa Escape one walitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia kuhusu PA System wakati wa JF Party, kumbe Lara 1 aliwashtukia kitamboo wala pesa haikutoka wakajua tumewatangulia, walipolalalia ndipo tulipoamkia.

Ila kuna Mdada mmoja alinipiga kama wekundu wawili kwa vishina vya vocha badala ya vocha Lara 1 ndiye aliyeushtukia mchongo mzima.

Huu ni uzoefu wangu tu kuhusu your fiancee, Kaka Matola usilaze damu, utafika mbali na huyo binti.... LOL

Ajhusi (ankal) nimeongea na ankal wako that's why umuoni hapa leo anajuwa nina hasira sana leo, but nitarudi normal siyo kwamba nilikuwa natoa ada tu hata chakula na pocket money ya mtoto na mimi si kama nina uwezo huo bali kumbukumbu ya baba yao haiwezi kifutika kirahisi kwangu.

huyu brother hatuna undugu wowote amenisaidia sana nilikuwa bado kijana mdogo wakati naanza maisha yeye ndio ameniongoza hat nilipo leo mchango waKe ni mkubwa sana. rest in peace bro.
 
Last edited by a moderator:
Mi nafikiri unacho takiwa kufanya ni kuongea na huyo mama na kumuuliza alaf msamehe na kama hita wezekana usiache kusaidia family kwa mambo mengine Mungu akikusaidia!

Kosa la huyo Mama lisikufanye ujute na kushindwa kuendelea kuwaSaidia kwa mambo mengine.
Msamehe usife moyo hizo ni changamoto za malezi na ushukuru umegundua na kosa haliwezi kujirudia.
 
Pole sana,msamehe huyo mama lakini ili umsamehe inabid uongee nae akuambie ukweli,na akupe sabab kwanini hakuwa muwaz tangu mwanzo lakini endelea kuisaidia familia kama kawaida lakini kaa chini ongea nae ili uwe na aman na uendeler kawasaidia kwa moyo mmoja
 
Hii mbona kawaida tu. We potezea tu kwani nini bana. Hiyo hela si bado inatumia familia ya kaka yako wa hiari? Au inaishia kwingine?
 
Hii ni story ya kweli inanima sana kwakweli, iko hivi mimi miaka kadhaa uko nyuma nilikuwa na kaka mkubwa wa hiyari nchi fulani hivi akanifanyia mishe za documentation to grant my viza.

then nikajoin huko tukawa tunabeba zege pamoja na kuishi same apartment pamoja, huyu mtu alikuwa ni zaidi ya kaka kwangu tuliishi kwa upendo wa hali ya juu.

ilikuja kutokea bahati mbaya siku moja yeye alitoka na gari kivyake na washkaji mimi nilibaki home maana nilikuwa kesho yake boss wangu ananipitia yeye home saa 11 alfajiri ili tusafiri by road nje mji kikazi ndipo nilipopigiwa simu land line na beeper ikaingia msg my brother amepata ajari mbaya ya gari usiku wakati wakirudi na amekufa palepale pamoja na mwingine na wa tatu yuko hospital in a coma.

hii ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulia kuhusu dead man, basi all in all our alicover kila kitu kurudisha human remain body kuzika bongo na mimi nilikuwa ndio escoter mpaka home, tulivyomaliza msiba huyu my brother ana watoto wawili first bone wa kike na last ni wa kiume kwa sababu zangu na uwezo pia sina nikaahidi kucover school fees za mtoto wa kiume.

maisha yamekwenda na mtoto anaendelea vizuri sana na support za kawaida za kibinadamu mungu akinibariki nazifanya kwa sababu baba yao amenisaidia I can't even mention hapa mnielewe.

mtoto yuko form three sasa hivi, so nimempigia simu mkurugenzi wa shule ambaye ndio mmiliki nikamwomba nimpe post dated cheque kwa ajili ya term ijayo kwa sababu zangu za kibiashara ndipo akanisanuwa mbona mtoto smiaka yote analipiwa ada na kampuni fulani ambayo ni special fund yao kwa ajili orphans?

jamani pesa zote nilizokuwa nampa huyu mama kwahiyo zilikuwa za nini? nina hasira kwakweli leo.

pole sana cha msingi we uchune afu umsikie yule mama atareact vp inshort kakosea alipaswa aseme ukweli ila sikushauri ulipe ada tena.
 
Back
Top Bottom