Hii ni Ajabu Kwangu

ni mbinu ya ujima hiyo kwani unatakiwa utengeneze njia sahihi kwako wewe kama wewe na c kwa kupitia kwingine kwani ni rahisi kuharibu utaratibu
 
mimi sina ndoa niko single sina mbinu yoyote ya kucheat subiri wadau.ila sidhani kama kuna mtu anafanya mambo hayo ya kishamba hapa jf

yaani we mwanamke unaniudhi! Afu naona uneweka ile picha nzuri ya ukutani kama avatar!
 
ya kizimani sana hiyo siku huyo coordinator anaanza kumchuna na yeye ndio atajua na bado hajaanza kutoa siri kwa kila mtu
 
Back
Top Bottom