Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

Nijuavyo enzi zile mzumbe walikuwa wakitoa certificate of business management na AD ya business administration
Sasa ndugu yetu ana ADBM BADALA YA ADBA?I stand to be collected pls.
Alafu 1980 mpaka 83 vip alikuwa IDLE?
 
Wampe Hiyo Wizara Faustine Ndugulile... Muone atakavyoibadilisha hiyo Wizara... Siipendi CCM

Lakini Dr. Faustine will make a change and not this Dr. Mponda from Mzumbe

Naona sasa umehamishia mashambulizi sio kwa Dr. Mponda ila kwa Mzumbe. Sijajua ni namna gani Mzumbe imehusishwa na mapungufu yake wakati yeye alisoma Advanced Diploma miaka hiyo. Umeambiwa ana Shahada ya Uzamili na Uzamivu kutoka London. Unaacha kujikita hapo unasema Dr. from Mzumbe. Are you out of your mind?
 
Kwa Tosa niliyoijua ya miaka ile lazima alifeli ndiyo maana akaenda Mzumbe maana madarasa ya pale kwa PCB 1-3 karibu wote walikuwa wanafaulu na kuendelea. Kama alisoma EGM ana haki ya kusoma Mzumbe kwa zama zile na penyewe lazima kulikuwa na ufaulu usioridhisha. Wengi wenye bongo lala tunajua wanaogopa udaktari wanakimbilia 'public health' kimsingi ni sawa na somo la 'uraia' katika kuhamasisha watu watumie vyandarua vilivyotengenezwa na Mmarekani katika kiwanda cha A-Z pale Arusha. Sintoshangaa naye huyo akiwa bongolala
 
You’re the character in the dream, and the dream world is either a projection of you, some other kind of illusion, or simply unknowable. You are not real in the same way you are. Your own mind is the basis for hatred knowledge words. Even though it’s impossible to prove it wrong it's not objectively, yet falsifiable, but with your hatred heart, you seem to be dead end.
 
Back
Top Bottom