Uzee ukizidi inakuwaje???
mi naunga mkono hoja wala skubishii mwaya.....ni kweli
nawashangaa awa vshudunda vnavyokuparamia na kukushushua..
nna wasiwasi hapa ndo palimvunja mbavu hasanilimwandikia waifu massage asbuhi sana, nimetoka tu kwenda kazini, na yeye anaelekea upande mwingine wa mji kazini.
ni copy and paste massage ni hizi hapa
##....siku ile tulivoenda kijijini tukapikiwa ugali mkubwa wa dona na jogoo wa kienyeji anayekaribia kuwika aliyeungwa chumvi tu, tukala tukashiba, mama akachemsha maji tukaenda kuoga porini karibia watu watuone, tulijisahau tukaanza kula tamutamu chapuchapu, nakumbuka kulikuwa na mbalamwezi!!!
##tulienda kulala baada ya story nzito nzito toka kwa babu, sasa kakitanda kadogo, net fupi imetobokatoboka, ukashauri tulale kwa kubebana au ubavu ubavu, ghafla usingizi fuuuu mara tukaamka, tulianza kula tamutamu mpaka asbuhi mionzi ya jua Ilitushtua kwa kuwa nyumba ya udongo ilikuwa na mapengo mapengo.
##babu alikuja kutuamsha nakumbuka akaniita ANKO...ANKOJEI....kumekucha njoo nisaidie kukamata jogoo wa Lunch, ghafla tulianza kumfukuza jogoo wa lunch, mpaka ulikuja kumkamatia sehemu ile tulipokuwa tunaoga usiku porini.
Basi nasikia my waifu amecheka sana uko kazini mpaka ametoka nje, JARIBU NA WEWE KUMCHEKESHA MKEO/MPENZI WAKO LEO UNAWEZA PATA BONUS NIGHT.
Kwa mhusika atakuwa amecheka sana maana itakuwa imemkumbusha mbali, ila kwa mwingine anaweza asione umaana wa hii story. Kwa jinsi ulivyosema nahisi maeno utokayo yatakuwa aidha, Tanga, Pwani, Dsm, Tabora au Kigoma maana ndiyo wana utamaduni wa kujenga kwa miti.