Hii ndio massage Iliyomchekesha waifu leo mpaka nimesikia raha!

wajemeni samahani kwa kuchelewa, Unajua tena mambo yalikuwa BAAABU KUBWA
Kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwekwekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mi chichemi......nakwambieni mnamisi VITUZ!!!!!wababa, amkeni nyie
CREATE A BONUS NIGHT.....
Yaani kama vile ndio tuna anza.

JIPANGENI WANAUME KAZI KWENU!!!!!!
ngoja nawihi home jumla.....napita tu bar nichukue nyama choma mbuzi then chips kidogo.
 
KANUNI YA KUPATA NI KUTOA, Kanuni ya Kuzidisha ni Kugawanya....SIMPLE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom