cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,996
- 139,744
Na hao wote wamefananishwa/wanafananishwa na Chama.Mimi huwa sipendi mambo za comparison lakini kwakua mpira unachezwa na kila mtu anaona lazima watu wafanye comparison tu. Hakuna siku kuna mtu alisema Chama ni mbovu ni mchezaji mzuri wala msikasirike kufanyiwa comparison lakini tukija kwenye uhalisia kwa sasa Chama kwa Pacome na Aziz Ki bado sana ndugu. Chama hapati namba kwa hao watu ukubali ukatae. Hao jamaa viwango vyao havina mashaka wala havichagui games tofauti na Chama.
, kuna Chama m1 tyuuh Bongo, epuka matapeli.