Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,471
- 105,499
Huyo Pacome carrier yake ya mpira imeanza lini?Aziz Ki msimu wake wa kwanza NBC ndio tunasema aliku na perfomance mbovu lakini ukilinganisha msimu wake uliopita ambao alikua MVP ligi aliyotoka alikua number nzuri huku. Cheki sasa hivi anavyokiwasha ndio top score.
Haya huyu Pacome naye katoka kule kama MVP cheki anavyokiwasha sasa hivi. Naxhotaka kusema ni kwamba hawa wachezaji hawahitaji misimu 7 kuonyesha viwango vyao kama ulivyosema hapo. Misimu mitatu inawatosha kuonyesha hawa watu si wa mchezo mchezo.