HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al?

Sometimes anajiita Zubeda, JeyKey na majina ya sehemu kama pwani nakadhalika! R.I. P malaria sugu
 
Mkuu hao ni watu wawili tofauti ila itikadi zao zinafanana. Dar es Salaam ni msomi mzuri anajua jenga hoja na kutetea. Malaria Sugu ni elimu ile ya ahera tu. Ukisoma maandishi yake ni kama anaandika kiarabu. Ukitaka mkomesha yule mjibu post zake kidhungu. Huwa anasepa na malapa yake.
Du kweli umelonga mkuu
 
KATIBA MPYA WADAU--NI KWA SABABU YA UCHAKACHUAJI ILIKUWA MAPANGA YATEMBEE SASA BORA KUBADILI MFUMO KULIKO KUUANA KAMA WAKENYA SIO VIZURI-SABABU NI NYINGI LAKINI KUBWA KUTOA AMANI YA KWELI MANAKE HAKUNA AMANI PASIPO HAKI, NA HIZI NYINGINEZOInakandamiza haki ya mgombea binafsi
2. Inatoa fursa ya kuwa na tume ya uchaguzi ya uchakachuaji
3. Inatoa fursa ya watawala kuwanyonya watanzania kwa kuficha mikataba
4. Inatoa fursa kwa rais wa nchi kuwakandamiza watanzania kwa maamuzi yasiyo na mpaka idadi ya wizara, teuzi mabalimbali
5. Inatoa fursa ya matumizi hovyo ya mali ya umma mfano kazi ya naibu waziri na mkuu wa wilaya v. Katibu wa wizara na mkurugenzi wa wilaya
6. Inavunja kanuni ya principle of separation of powers -mbunge anakuwa waziri, watawala wetu wengi wapo juu ya sheria
7. Inatoa fursa ya ufisadi kwa watawala wetu kwa kuzuia hatua yoyote dhidi yao
8. Ilitungwa kwa ajili ya chama kimoja na sasa ni vyama vingi
9. Katiba ya sasa ya tanzania haitambui zanzibar kama nchi
10. Katiba ya sasa inabeba sheria 40 za nyalali alizosema zifutwe
11. Katiba ya sasa inarusu uzandiki mwingi wa kuchakachua
 
Mkuu hao ni watu wawili tofauti ila itikadi zao zinafanana. Dar es Salaam ni msomi mzuri anajua jenga hoja na kutetea. Malaria Sugu ni elimu ile ya ahera tu. Ukisoma maandishi yake ni kama anaandika kiarabu. Ukitaka mkomesha yule mjibu post zake kidhungu. Huwa anasepa na malapa yake.

Hahahah! you have made my day Rev! kile kiumbe matata sana! tena huwa anasepa pekupeku huku akiyabeba malapa yake mkononi na mikono nyuma hehehehe! RIP MS!
 
Kama Malaria Sugu kalamba ban ni poa sana maana tumelalamika sana kuhusu yeye na udini wake.

Vile vile msisahau kuwa Malaria Sugu huja kwa jina lingine ambalo ni Dar es Salaam.Kwa hiyo akija kwa jina la Malaria Sugu au Dar es Salaam ni kumripoti kumpa kubwa tu za uso akafie mbele

Ni habari nzuri sana kama MS wamem ban! Nimepost thread moja ya kuomba watu kama hawa wafungiwe kabisa wasitake kutuchanganya!
 
Malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in JF na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. so nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.

nawasilisha!!!
Kwa nini hujasema atukanwe kabisa tena matusi ya nguoni? teh teh teh teh teh teh
 
Kama Malaria Sugu kalamba ban ni poa sana maana tumelalamika sana kuhusu yeye na udini wake.

Vile vile msisahau kuwa Malaria Sugu huja kwa jina lingine ambalo ni Dar es Salaam.Kwa hiyo akija kwa jina la Malaria Sugu au Dar es Salaam ni kumripoti kumpa kubwa tu za uso akafie mbele

Tatizo kubwa tulilonalo wabongo ni kua hatupendi criticism, tunapenda watu watuambie tunayopenda kuyasikia. Sidhani kua hiyo ni kuwiva kifikra na wala sioni kua inaweza ikatusaidia. Anachojaribu kufanya malaria sugu ni kujadili topics ambazo zinaonekana ndio tatizo ktk jamii yetu na sio kupakana mafuta na mgongo wa chupa.

Tumeshazoea kupeana sifa zisizokua na maana mpaka tumefikia hatua ya kuharibikiwa, baadae tunalalamika nchi mbovu, kiongozi mbovu na mengine mengi. Ni lazima pale ambapo kuna kitu kinaonekana kua ni tatizo kijadiliwe. Yoyote anaetaka kumchallenge malaria sugu anatakiwa amchalenge kwa ideas zake na sio kwa kusema apigwe ban. Mambo yetu mengi yanaharibika kwa kukataa kutaja udhaifu wetu. Sasa kama mnataka malaria sugu apigwe bani kwanini mnalalamika na mafisadi.
 
malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. Probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. Huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in jf na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. So nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. Nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.

Nawasilisha!!!
wewe ndio msemaji wao!? Fikra mgando hizo!

Malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in JF na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. so nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.

nawasilisha!!!

Taarifa za MS kusweka lupango ziko ubaoni hapa jf longi sasa. Ila ushauri wakozuri, atakuwa anafadhiliwa. Nilikuwa nashangaa anafanya kazi saa ngapi ikiwa muda wote anasogoa hapa jamvini. Nahisi anaandikia lile gazeti la kiisilamu ambalo halisomwi na pengine Anatangazia ile radio ya koislamu
 
Ni habari nzuri sana kama MS wamem ban! Nimepost thread moja ya kuomba watu kama hawa wafungiwe kabisa wasitake kutuchanganya!
Tatizo la MS ni kuwa si CHADEMA basi! Watu kama Rev. wanapakatia udini na kejeli nao hawasemwi eti ni "wenzetu"
 
MoDs naona katika hii thread mkiangalia vizuri (kwa darubini) mtapata watu wengine wa kupiga BAN!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom