Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

duh, bwana nape kaanikwa uchi hadharani...anajuta kilichomtuma/aliyemtuma kuanzisha vita ya elimu ilihali mwenyewe bonge la kihiyo.
 
Butimba ni TTC. Hiyo CV ya Nape ameichakachua kama kawaida yao magamba wamezoea kuchakachua
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.
 
M
waka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
hapa mi sijaelewa Butimba ttc masomo ya advanced vp........au kilikuwa kituo tu cha mtihani kama private candidate......
 
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.
mkuu kweli hii ni changa la macho,butimba TTC hakujawai kuwa na high school,Labda kama kuliwahi kuwa na centre ya PC
 
Civic inamhusu nini? Anaiujua na kuielewa katiba ya CCM na ilani za uchaguzi za CCM kwetu inatosha sana na anatekeleza majukumu yake ipasavyo mna lazaidi????????????????????
sasa sijui huyu naye vipi? sijui utoto ama ndo hizi zero za dr.kawambwa na mulugo!!
 
Kayakologa analo pole sana nape (nahum) weka matokeo yako diploma za mwaka mmoja mmoja ....
Pumbavu hatudanganyiki ,,,,
 
akijibu hoja ya mwampamba mke wa slaa anasema nape ni mtoto wa mwandosya ya kweli haya jamani
 
Matokeo ya Nape Nnauye ya Ordinary level secondary education ni Division TWO..,kwa anayetaka kujiridhisha anaweza ku-google mwenyewe NECTA matokeo ya Nsumba Secondary 1997. na hata kwa matokeo mengine pia ambayo Ni ya ndani ya Nchi na kuhusu matokeo ya chuo cha bangalore nayo yapo TCU.,ni jambo la kuuliza na kujibiwa.

Mkuu Tandaleone,

Kwa nini umeamua kumsemea Nape? Hayumo humu JF mpaka wewe umtetee? Na labda unisaidie kufafanua hapa;

1. Nape Nnauye alisoma Butimba TTC elimu yake ya kidato cha 5 na 6. Alisoma kama mtahiniwa wa ndani(school) au wa kujitegemea(pricate)? Kama ni private, kwa nini na Marks zake za kupata darala la pili zilimfanya aweze kuchaguliwa shule yeyote ya serikali kwa miaka hiyo (with exception ya Special schools za Ilboru, Tabora wavulana, Mzumbe wavulana etc?)

2. Andiko lake la Shahada ya Uzamili (MPA) juu ya ((SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)) lilisimamiwa na Mwalimu yupi na case study yake ilikuwa wapi?

Cc Molemo Ben Saanane Crashwise Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Eti Cv ya kweli ! fafanua kuhusu Butimba TTC! Then tupia matokeo yake kwa kila level ili maana ya CV ikamilike.
 
akijibu hoja ya mwampamba mke wa slaa anasema nape ni mtoto wa mwandosya ya kweli haya jamani
Kama unamfahamu waziri huyo asiekuwa na wizara kwa sura wala huulizi mara mbili ukizingatia waziri huyo kabebwa na kikwete huku kijana wake (Nape) kabebwa na kikwete....
 
Civic inamhusu nini? Anaiujua na kuielewa katiba ya CCM na ilani za uchaguzi za CCM kwetu inatosha sana na anatekeleza majukumu yake ipasavyo mna lazaidi????????????????????
Mbona limekuwasha hivyo wewe mkewe anyway mwambie mmeo apunguzi mkorogo...
 
Toa ufafanuzi kuhusu Butimba ttc pia Tupia Matokeo kwa kila level ili maana ya CV ikamilike.
 
Back
Top Bottom