Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Ni kazi ngumu sana kujaribu kuficha ukweli.....

Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

Ila naamini muda si mrefu tutaanza kazi ya kufungua mafaili ya wakubwa ambao wamekalia nafasi za wengine!
 
Nape???????? alifanyaje mtihani wa form six wakati sifa ya kufanya mtihani wa form six ni credit tatu za o level na hapo sioni hata credit moja

Kaka unashangaa nini sasa kama watu wanafaulu kwenda secondary hawajui kusoma na kuandika why kwa Nape Nnauye ushangae? Hata hawa waliopata Four na Zero wakipewa chance nao watafanya wonders kama Nape Nnauye na watakuja kuwa watawala wetu.
 
Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr

mkuu naona hujaona vizuri. Hajasomea Master OF BUSINESS ADMINISTRATION bali kasomea Masters in PUBLIC ADMINISTRATION
 
Pia aliwahi kuendesha pikipiki aka kinetic honda, kama boda boda, akiwa masomoni, kama anabisha aje ajitokeze
 
Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr

mkuu naona hujaona vizuri. Hajasomea Master OF BUSINESS ADMINISTRATION bali kasomea Masters in PUBLIC ADMINISTRATION

Hiyo Public Administration elective zake in "Political Science"? Business Administration ni kwa ajili ya sekta binafsi, Public Administration ni kwa ajili ya serikali na taasisi zake
 
Kaka unashangaa nini sasa kama watu wanafaulu kwenda secondary hawajui kusoma na kuandika why kwa Nape Nnauye ushangae? Hata hawa waliopata Four na Zero wakipewa chance nao watafanya wonders kama Nape Nnauye na watakuja kuwa watawala wetu.
te te te kwi kwi kwi
 
TandaleOne

Kikubwa elimu yake inasaidia nini katika taifa la Tanzania? Maana tunachokiona kila siku kutoka kwake ni MATUSI jukwaani.

Kwa maana nyingine hata kama amesoma bado HAKUELIMIKA.
 
Last edited by a moderator:
hujatupa ufaulu wake wa form 4 na 6 alikuwa na division ngapi? Kama mwenzake Mnyika alivyosema?

si alipata 4 ya 19 kaka?huu uzi una maswali meengi majibu kidogo hizi elimu za kuunga unga mwisho utasikia nape ni profesa kudadadeki sisiem
 
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

1. hapo kwenye nyekundu Nape unalidanganya jamvii , Butimba TTC (teacher's training college) . kwa hili naamini o'level ulipata division 0 au iv ndiyo maana hata hiyo a'level hukutoboza mkuu.

2. hizo diploma za mwaka mmoja mmoja sidhani kama zinatambulika hata NACTE ,mwaka mmoja ni muda wa kusomea Cheti....... hivyo vyeti vyako na vyuo ulivyosomea vinausajili wa NACTE kweli?

3. hebu weka ushahidi hapa o'level ulipata ufaulu wa daraja gani?

siku zote penye ukweli uongo hujitenga.
 
mjinga kama wewe..,mtu aliyepata F ya math anasomaje EGM..?

BUTIMBA TTC ( wakati huo mkuu wa chuo alikuwa waziri wa ajila na kazi kabaka nenda kamuhulize vizur) HII KALI SANA, rudi kajipange upya tandeleone watu wanaelewa kila kitu
 
mjinga kama wewe..,mtu aliyepata F ya math anasomaje EGM..?
Wewe ndiye mleta mada usikimbie hoja kwa kuanzisha matusi. Ok, mimi ni mjinga sasa wewe mwelevu tuwekee credits za Nape za O'Level zilizomfanya asome EGM.
 
Heh, mtu una F ya Civics afu unafanya siasa??

Aisee, ngoja nikatafute pepa ya Civics ya mwaka huo nione maswali yalikuwaje.

Kama kuna mtu ana access ya pepa ya civics ya mwaka huo aniwekee tafadhali
Mmmemshika pabaya hapa ndio naonaga tatizo la kuropoka au kukurupuka.
 
Ila mnyika ni kichwa jamani

Huyu kijana ametulia sana. jana alinifurahisha sana kwenye Malumbano ya hoja ya ITV,alipomalizia maelezo yake kwa kumjibu kila mtu kwa muda mfupi sana ila kwa majibu yaliyojitosheleza na ukumbi mzima ukashangilia.

Kimsingi jamaa akili yake ni kubwa sana na ana memory kubwa sana, huwa anauwezo wa kurecord mambo mengi na anuwezo wa kuyaretrieve yote na kuyatolea majibu bila kusahau chochote.

kama Chadema wakimlea vizuri huyu jamaa atakuja kuwa mtu muhimu sana kwa taifa hili huko mbeleni!
 
Hahahahahhahahahahaahhaaaa diploma za mwaka mmoja mmoja then zikampa nafasi ya kusoma digree huko Uhindini, master Mzumbe nayo ya mwaka mmoja.
 
Back
Top Bottom