The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Haya kwani na wewe unatoa kikombe??? Halafu uporoto haujamtorosha kweli Michelle kutoka nyumbani kwao??Hahaha! TF na Kloro,Michelle yupo hapa nyumbani infakti anapika chai huku kavaa kanga moja,kama ana maradhi namtibu mwenyewe lol!