Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema)

Mwanzo nilidhani Shibuda ni bonge la mpiganaji,lakini nilim-disco ilipoibuka hoja ya posho bungeni. Aliwasaliti wabunge wa cdm live kwa vijimsamiati vyake vya ki-pemba
 
Jamani na mimi pia naomba mniwekee CV ya Mh Mbowe ,Mwenyekiti wa Chadema nimefurahi sana kuona CV ya Mh Shibuda!
 
Jamani na mimi pia naomba mniwekee CV ya Mh Mbowe ,Mwenyekiti wa Chadema nimefurahi sana kuona CV ya Mh Shibuda!

Hawatakuwekea bora website ya Bunge utaikuta na CV zote xa wabunge
Cha ajabu wanataka mwenye Phd ndo watanyamaza
 
Huyu jamaa kwa sisi tuliyekua naye bungeni ukiacha cv yake iliyo katika tovuti ya bunge ana cv hii.
1.kila siku kwenye party ya kumaliza kupitisha bajeti ya wizara huwa anakojoa popote kwa sababu ya ulevi.
2.kina mama wa ccm viti maalum hawapandi lift ya huyu jamaa(nafikiri wanaogopa kubakwa )
3.madereva taxi pale bungeni wakimchukua wanadai malipo kabla hawajaondoa gari'
4.kasheshe alipopnga.
5.mziki atakapomalizia ulevi kama hajapata dem.

Duuuuh kumbe hafai hata kwa kulumangia kwa kachumbari haaaaah!!!!!
 
Matumizi ya kauli za nyerere hayawezi kuwa ni kauli ambayo iwe ni lazima iwe hivo. na kama kauli za nyerere ingekuwa nilazima basi hata Jk asingekua rais, now its President. Wakati unaamua nini watanzania wanataka hata kama wengine hamtaki mabadiliko ya kweli. Ni ukweli usiopingika kama uchaguzi ukifanyika leo fair Dr Slaa anakua rais, Hizo kauli za nyerere hazina nafsi leo. Wapigakura wengi wa leo hawamjui nyerere wala ccm , wamezaliwa baada ya vyama vingi, Nyerere Si Mungu
 
kumbe ni zumbuku. hata politics hana experiance nazo na shule hajaenda. basi tupa kule huyo
GENERAL INFORMATION
PARTICULARS
DETAILS
Salutation
Honourable
First name
John
Middle Name
Magale
Last Name
Shibuda
Member Type
Constituency Member
Constituent
Maswa
Political Party
CHADEMA
Office Location
P.O Box 5, Mawa
Office Phone
754 465 597
Office Email
jshibuda@parliament.g.tz
Member Status
Current Member
Start date
End date
Date of Birth
23 February 1950
SCHOOL
COURSE
START
END
LEVEL
Sayu Primary School
Primary Edecuation
1958
1962
Primary
Makoko Seminary
Primary Edecuation
1962
1966
Primary
Moshi Techinical School
O Level Education
1967
1970
Secondary
EMPLOYMENT HISTORY
COMPANY NAME
POSITION
FROM
TO
General Tyre East Africa Co Ltd
Field Technical Product
Observation officer
9/1/1972
9/30/1973
UAC Tanzania Ltd - Machinery
Services
Technical Marketing Assistant
Manager
3/1/1978
11/30/1978
General Tyre East Africa Co. Ltd
Customer Company Service Care &
Marketing Rep.
3/1/1974
9/30/1976
General Tyre East Africa Co. Ltd
Technical Mechanical Installation
Officer
3/1/1971
9/30/1971
The Parliament of Tanzania
Member (Maswa Constituency)
2005
2010
Habit Ride Tanzania Ltd
Director/Chairman
2004
Clear Channel Independent Africa
(TZ) Ltd
Tanzania Resident Director
2001
Canadian Porserve Ltd
Resident Company
Representative
2/28/1993
1997
Tanza Intl. Agr. Inputs Ltd.
Norway Nordox Agency
Managing Director
1998
African Road Works Company
Director of Operation
12/1/1979
1989
Cooper Motors Tanzania
Corporation Ltd
Company Stock Verifier
12/1/1978
11/30/1979
Domestic Appliances & Bicycle Co.
Ltd
Retail Shop Manager
10/1/1976
2/28/1978
General Tyre East Africa Co. Ltd
Technical Marketing Service
Officer
10/1/1973
2/28/1974
General Tyre East Africa Co. Ltd
Factory Production Supervisor
10/1/1971
8/30/1972
Al-Abbady Trading Company Ltd
Business Executive Manager
1/1/1990
1/1/1973
POLITICAL EXPERIENCE
PARTY
POST
FROM
TO
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Chairman - Regional Parents
Association
2002
2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of National Executive
Council (Shinyanga)
2000
2002
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Youth Deputy Commander -
Shinyanga
2000
2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Development Coordinator -
Shinyanga
2000
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of National Executive
Council (WAZAZI)
1994
1999
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Coordinator (Fund raising for
strengthening CCM)
1993
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member - Dar es Salaam Region
Task Force
1991
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member - Dar es Salaam Fund
Raising Task Force
1990
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member - Dar es Salaam Youth
Task Force
1989
Chama Cha Mapinduzi - CCM (Ilala)
Coordinator of the Race for the
Uhuru Torch
1989
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Leader - Upanga West Branch
1987
To date
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of Upanga West National
Council
1987
To date
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of Ilala District Political
Committee
1987
1992
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member of Ilala District Council
1987
1992
 
Huyu kigori shibuda, yan ni jipu la taifa..chadema wamtmue ikbd
 
form 4 tu, hana lolote!
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Sayu Sayu Primary SchoolPrimary Education19581962PRIMARY
Makoko SeminaryPrimary Education19621966PRIMARY
Moshi Technical Secondary SchoolO-Level Education19671970SECONDARY
 
Sijaelewa hapa
Chama Cha Mapinduzi - CCM Leader - Upanga West Branch 1987 Todate
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Upanga West National Council 1987 Todate

Hivi Shibuda bado yuko huko au Website ya Bunge haijawa updated?
 
Tujaribu tuone nini au mara ngapi tena na wewe Nzenga Kaya au njengea tumboni?! inaelekea hata wewe una CV uchwara kama hiyo ya Shibu nini!?
Huyu gamba tunaye mpaka kieleweke; kama umechukia saga vioo unywe.
 
Kwani Shibuda hajui kuwa kugombea uraisi lazima uwe na degree?sasa mtu hana hata diploma anabwabwaja,anakuwa na lengo gani kama sio kuleta mifarakano,2015 will be his political funeral,I know akidondoshwa kwenye kura za maoni CCM watamlipa hela ili azunguze kujaribu kuichafua CHADEMA,CCM consider Shibuda as their potential lethal weapon against CHADEMA.How I hate this guy!
 
Back
Top Bottom