Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema)

Nangoja nione Zitto anapotangaza kugombea Urais, sijui mtasema akatangazie maliwatoni.
 
Chama Cha Mapinduzi - CCMLeader - Upanga West Branch1987To dateChama Cha Mapinduzi - CCMMember of Upanga West NationalCouncil1987To date[/QUOTE]Kwa kweli CDM tulifanya kosa kubwa sana kumpokea huyu gamba kwanza inaonekana kabisa bado mwanachama wa CCM kulingana na CV yake inanavyo jionyesha, isitoshe kwa elimu yake hafai kuwepo CDM kama MP ndiyo maana hana mchango unaoonyesha ni mtu mwenye upeo wa kuleta mabadiliko katika nchi hii, yeye saizi yake ni Magambani walipo akina Lakairo, Nkumba na wengineo.
 
Hivi sheria siku hizi inaruhusu mtu ambae hana elimu ya chuo kikuu kugombea urais?,
 
Kama maoni mengi dhidi ya Shibuda ni maoni ya kichama Naona CHADEMA ndo kuna wafuasi vichaa na hasa kama coments hizi zote ni kwa sababu Shibuda kawakumbusha ukweli unaaokuwa practiced na CHADEMA harafu chadema wanataka kuukana kwasababu tu umetoka kinywani mwa shibuda!. Niwakumbushe tu wapenzi vipofu wa chadema kuwa chadema yote(mwenyekiti, Katibu na wajumbe wa NEC+CC) wanajua kiwa hawawezi ku-produce rais wa Tanzania ndiyo maana wajumbe hawa walikubaliana kwa sauti moja kuwa Slaa(katibu mkuu) agombee urais na kwasababu walijua kuwa hawezi kuwa rais basi atalipwa equivalent ya posho za bunge kwa kipindi chote cha miaka mitano ijayo. Kimbukeni pia kuwa haya Nyerere alisema kiwa rais lazima atoke ndani ya ccm. Kuendelea kumsakama Shibuda kwa kuwakumbusha ukweli ni kuonesha kuwa wafuasi wa cdm wasioona ukweli huu na kumuita Shibida kichaa ni kutumia DOWNSTAIRS zaidi katika kufikiri na hili litafanya cdm waendelee kuwa watumwa wa facts. Ciao.
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1441.jpg
First Name:John
Middle Name:Magale
Last Name:Shibuda
Member Type:Constituency Member
Constituent:Maswa Magharibi
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 5, Maswa
Office Phone:+255 754 465597
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:jshibuda@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth23 February 1950
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Sayu Sayu Primary SchoolPrimary Education19581962PRIMARY
Makoko SeminaryPrimary Education19621966PRIMARY
Moshi Technical Secondary SchoolO-Level Education19671970SECONDARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
General Tyre East Africa Co. LtdField Technical Product Observation Officer9/1/19729/30/1973
UAC Tanzania Ltd - Machinery ServicesTechnical Marketing Assistant Manager3/1/197811/30/1978
General Tyre East Africa Co. LtdCustomer Company Service Care & Marketing Rep.3/1/19749/30/1976
General Tyre East Africa Co. LtdTechnical Mechanical Installation Officer3/1/19719/30/1971
The Parliament of TanzaniaMember (Maswa Constituency)20052010
Habit Ride Tanzania LtdDirector/Chairman2004
Clear Channel Independent Africa (TZ) LtdTanzania Resident Director2001
Canadian Porserve LtdResident Company Representative2/28/19931997
Tanza Intl. Agr. Inputs Ltd. Norway Nordox AgencyManaging Director1998
African Road Works CompanyDirector of Operation12/1/19791989
Cooper Motors Tanzania Corporation LtdCompany Stock Verifier12/1/197811/30/1979
Domestic Appliances & Bicycle Co. LtdRetail Shop Manager10/1/19762/28/1978
General Tyre East Africa Co. LtdTechnical Marketing Service Officer10/1/19732/28/1974
General Tyre East Africa Co. LtdFactory Production Supervisor10/1/19718/30/1972
Al-Abbady Trading Company LtdBusiness Executive Manager1/1/19901/1/1973
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMChairman - Regional Parents Association20022003
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of National Executive Council (Shinyanga)20002002
Chama Cha Mapinduzi - CCMYouth Deputy Commander - Shinyanga20002003
Chama Cha Mapinduzi - CCMDevelopment Coordinator - Shinyanga1995
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of National Executive Council (WAZAZI)19941999
Chama Cha Mapinduzi - CCMCoordinator (Fund raising for strengthening CCM)1993
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember - Dar es Salaam Region Task Force1991
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember - Dar es Salaam Fund Raising Task Force1990
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember - Dar es Salaam Youth Task Force1989
Chama Cha Mapinduzi - CCM(Ilala)Coordinator of the Race for the Uhuru Torch1989
Chama Cha Mapinduzi - CCMLeader - Upanga West Branch1987Todate
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Upanga West National Council1987Todate
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Ilala District Political Committee19871992
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Ilala District Council19871992

 
bob ishe nimekukubali. Ndio maana anabwata tu bila kufikiri ni janga kweli chadema huyu mtu.
 
Mbona tunapenda kumpa umaarufu wa bure huyu kichaa?
Hakuna mtu anampa umaarufu ila historia yake ya kazi ilimharibu na kumfanya mtu wa kuropoka ovyo. Angalia: alimaliza sekondari 1970 na kuanza kazi, kutoka shirika moja na kuingia jingine jumla ya mashirika zaidi ya tisa! Kilichomtoa toka shirika moja kwenda jingine ni nini! Huyu ni aina ya wale watu ambao hawawezi kutulia mahali. No professional training, no ethics learned; he says whatever he wants to, anywhere, anytime, has no sense of timing whatsoever! Hili ndilo tatizo la huyu mheshimiwa lililowachosha ccm ikabidi wamwache. CDM zibeni masikio yenu, msimsikilize mtu asiyekuwa na chembe ya maadili ya siasa.
 
Kuhusu Elimu ni hakuna kabsaa, ile nime-laern kwamba anatabia ya kahamahama, au kufukuzwa na waajili wake kwa ukuchaa wake.
 
Kiswahili cha pwani amejifunzia Zanzibar

Salmin "komando" alipokuwa Rais wa Zanzibar alimfadhili sana huyu Shibuda na alikuwa haishi kwenda huko lakini alichokuwa anafanya huko ni siri yake yeye na KOMANDO!!!
 
Mbona tunapenda kumpa umaarufu wa bure huyu kichaa?


Sikia, kuwa kiongozi serikalini siyo mpaka usome na kuwa na Phd. Elimu ya sekondari ni tosha kabisa ila unatakiwa kujua nini cha kuongea na kuna wenye vipaji na hivi.
 
Back
Top Bottom