Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,149
Salaam Wadau,
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini?
Cc: Chief-Mkwawa
IMG_20240225_030643.jpg
 
Salaam Wadau,
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini?
Cc: Chief-Mkwawa View attachment 2915536
Sifahamu mkuu, nimejaribu kucheki online pia sijapata jibu, ila imekaa kama msg ya mtandao wa simu inayoletwa na line badala ya error ya simu...

Kama unaweza jaribu kutotumia line ya sasa simu hio uone kama msg bado inakuja.
 
Poa Mkuu,asante kwa feedback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom