Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Hodi hodi... Nilikua nikifatilia JF kwa muda na sasa nimejiunga. Nataka kuanza kuchangia na mimi maana naona mambo ya kuchungulia dirishani hayafai.
Asanteni wote kwa kunikaribisha, najiskia nyumbani tu sema hii power ya kuanza kuchangia kwa threads ndio nilikua sina. Si mnajua tena kabla ya kuvuka mto lazima upime urefu wa maji?
Hodi hodi... Nilikua nikifatilia JF kwa muda na sasa nimejiunga. Nataka kuanza kuchangia na mimi maana naona mambo ya kuchungulia dirishani hayafai.