Heslb yawaka moto

mkalenda

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
290
23
Kwa taarifa zisizo lasmi heslb yawaka moto na inasemekana kulikua na hundi za kulipa vijana field na research!!
 
chanzo cha habarii!!!!!!???????maaana hii imeenea sana whatsapp ngoja tusubiri kuhakikishaau ndo janja yao ya kukwepa kulipa pesa ya vijana
 
wanafunzi bana yani mnaoneana wivu ,hivi siku hizi mnakopeshana kweli maana nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunasaidiana aliye na mkopo anamsaidia ambaye hana na ambaye hana sometime anakuwa njema anamboost ambaye anao siunajua tena kichuo yani kuiikuwa hamna vielement vya wivu kama nnavyoviona kwenye huu uzi,Inaonyesha wazi kabisa kunaupande unatama hata Heslb ife ili kundi flani lipate shida,Lakini kimsingi hamna haja ya kuchukiana unalo boom shukuru huna life litasonga na punde wote mwaweza kuwa graduate katika kadhia husika so please wanajamvi especially ambao mko vyuoni heshimianeni na mjaliane sio flani anamkopo basi halingumu kama hii ikimkumba unapiga vigelegele kumbukeni mtamaliza mtakuja kazini na huku mambo ni yale yale kwani mnaweza wote mkawa na qualification sawa lakini mwenzako akawa sehemu ambayo inampa authority zaidi sasa kama mnachuki way back inakuwaje sasa ndo unakuta kile ukiomba kitu unaambiwa subiri mpaka board ikae halafu wafanyakaziwenzako wakiomba mkopo fasta,leave fasta, n.k.so please wanazuoni hatuendi hivo mjaliane!
 
Back
Top Bottom