Mwanachama wa Al-shaabab
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu h.Ila there is art in science, so spend your time there and vice versa. Muukize katika music ,katika kuchora, katika kuchonga, katika mazingaombwe ya kupasulia jiwe kifuani na kama katika kulenga shabaha hakuna science?Mimi nilianza kumchukia tangu nikiwa mdogo aliposema kuwa there is no science in art so don't waste your time bw, mdogo
ndo maana hata sasa anapozidi kujidhihirisha usomali wake ndo nazidi kutompenda
kwani lini amewahi kuwa na heshima huyu!!!
BABA WA TAIFA ALIMHESHIMU NA KUMPA UWAZIRI WA ULINZI .