Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 888
- 4,135
Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua.
Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo bodaboda? Hawa watoto wazazi wanatumia mamilioni kuwasomesha; tunashangilia kuwaona wanaendesha boda boda tena tukitaka wabebe mishikaki kuongeza kipato.
Haya ndiyo maombi ya kinana kwa watoto wake? Amewahi kutumia maarifa haya ya India kama njia ya watoto wake kupata kipato? Anajua wahindi wenye hadhi gani wanapanda mishikaki?
Huyu mzee anajua ni vijana wangapi wapafu yamejaa maji kutokana na bodaboda? Anajua ni watu wangapi nivilema? Anajua ni watu wangapi leo hii wanatibiwa maradhi mbalimbali na wamelazimika kuuza vyanzo vya magonjwa (bodaboda) wajitibu?
Hizi ni dharau kubwa sana kwa umma wa watanzania.
Pia Soma:
- Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)