Heshima ya Kinana imeshuka sana!

Mhh, Rafiki wa Sir awe mtu wa kawaida hivi hivi? Must be unique in his own way, and the only way is to be one of them.
 
Mimi nilianza kumchukia tangu nikiwa mdogo aliposema kuwa there is no science in art so don't waste your time bw, mdogo
ndo maana hata sasa anapozidi kujidhihirisha usomali wake ndo nazidi kutompenda
 
PUNDA AFE MZIGO UFIKE:
This time kauli mbiu hiyo juu haitafanya kazi.
 
Huyu jamaa ni terrorist par se.Wasomali Arusha wanakula laifu kwa mgongo wake.Human trafickers (wasomali,waethiopia, na wale wanaopelekwa Yemen na nchi nyingine za kiarabu kutumikishwa)wote wamelindwa sana naye.Zile deal za usiku natumia magari haramu ni sehemu ya maisha ya wasomali wa karibu naye.Mtandao wa kufafirisha hela duniani kwa njia isiyojulikana na mahakama kuu ,inayoongozwa na wasomali wote wapo katik ulinzi wa kivuli cha huyu jamaa.Nafikiri kwa sasa Lema kama kampiga marufuku.wakimsimamisha ndio itakuwa mwisho wake na mwanzo wa wasomali kuchunguzwa na FBI,CIA kwa kufanya money laundering.Hope nitakuwa Ar kipindi cha kampeni nifurahi ktk roho yangu.
 
Mimi nilianza kumchukia tangu nikiwa mdogo aliposema kuwa there is no science in art so don't waste your time bw, mdogo
ndo maana hata sasa anapozidi kujidhihirisha usomali wake ndo nazidi kutompenda
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu h.Ila there is art in science, so spend your time there and vice versa. Muukize katika music ,katika kuchora, katika kuchonga, katika mazingaombwe ya kupasulia jiwe kifuani na kama katika kulenga shabaha hakuna science?

Kweli huyu jamaa wa uzao wa binamu nyama ya hamu hana tofati sana na wenzie wansiokaribishwa popote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom